Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna mtu niko nae hapa;

Namuuliza raha ya shanga nini.

Anasema raha ya shanga mzikate wakati wa Bed-kwaito afu muanze kuziokota moja moja wewe na mpenzi wako

Sasa hiyo raha ama karaha


...huyo aliyekujibu hivyo ni fundi mtaalamu kabisa, fuata ushauri wake. Kuna tule tudogotudogo kuokota hadi apige magoti. Yaani wewe unabaki kuwa mhamasikaji tu kuhamasisha ni juu yake😀😀
 
Kwenye maisha hua tunafanya mengi sana, mabaya mazuri na mengineyo meeengi. Ikitokea umemkwaza mtu kua mwepesi kujishusha thats how inatakiwa kuwa, ukiona umekosewa then kua muwazi kwa aliekukosea ili usjbaki na jaka la moyo.

Naomba kuwaomba radhi kwa yeyote anaejua nimemkosea by any means anisamehe na alienikwaza kwa vyovyote nimesamehe kwa moyo mweupe

U guys u were more than friends kwangu ni kama family

Nawaaga i wont be here kwa muda usiojulikana kidogo

I love ya'all.
Love you madame S, Mungu akubariki,nami nisamehe kwa lolote nilililokukosea ,nami sina ulilonikosea ..ubarikiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom