3/Ghana
Waigeria ni maarufu kwa filamu zao za kichawi ila Waghana wao ni wachawi kweli
Wengi mnakumbuka Andre Ayew alivyoumbuliwa na kamera kwenye michuano ya AFCON 2017 akinyunyizia juju uwanjani ....Aibu yao !!
Jamaa wanaoaajua kutumia hadi witch fying gas wakati wabongo wa Sumbawanga wanatumia ungo
Kaa mbali na Waghana
........