Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Mwenyewe siko wasap darling.. Niko na app ya JF pekeeNipo kapuku tuu..siko huko whatsap mimi
Mwenyewe siko wasap darling.. Niko na app ya JF pekeeNipo kapuku tuu..siko huko whatsap mimi
Nawe pia mamy...Ubarikiwe Sakayo siku njemq
Minal aidina Walifaidhini!Eid Mubaraka wapenzi
Leo Siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu,nani pacha wangu hapa
Kama siku ili nimekuambia nichukulie vocha nikashaa umekuja na lolipop 5 [emoji3]Ni mie huyooo
Naweza badili nilichoendea kwa duka nanunua lol pop
Yaani acha tuu, sio kwa fujoo zileeMngepewa vijembe mkalime siku nzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Happy born my friend...Tanx mamy
Hahaha sijajua mkuuAu ndo lile la wakubwa ??
You don't..Mimi nakufahamuu
HahahaKama siku ili nimekuambia nichukulie vocha nikashaa umekuja na lolipop 5 [emoji3]
HBDEid Mubaraka wapenzi
Leo Siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu,nani pacha wangu hapa
Wachina bhana, labda ndo maana wako na akili sanaaa