Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Hahahh popo huyo simuweziLeo kawahi Dada yako
Hahahh popo huyo simuweziLeo kawahi Dada yako
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Sehemu zote hizi kaona kibiti ndio pakumpeleka baby wake [emoji28]
Ubarikiwe mkuu BitozEnd![]()
.
.
.
.
.
Tukutane jioni/usiku kwenye 10 kibwa
Niwatakie mchana mwema
.........
Nakumiss zaidi Baba D wangu [emoji8] nilijua na leo ni mwendo wa kugongewa like[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] nipo mm nakumis tangu nikuachee paleeee[emoji4] [emoji4] [emoji4]
NaendaKausome mwaya
Leo nuna tuuJaman au siruhusiwi kucheka [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama itv na isidingo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Madam S njooooo pm
[emoji85] [emoji85][emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Sawa TSawa shemela..
Mimi sikimbuki nani aliyenileta..!
Shikamoo MamaUbarikiwe mkuu Bitoz
Sawa [emoji40] [emoji40]Leo nuna tuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni kweli me na Baba D tunakulana mshkaji wangu sie hatuact ujue
HBD clkeyEid Mubaraka wapenzi
Leo Siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu,nani pacha wangu hapa
Kuna mwingine sijui wa asubuhiNaenda
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Mie alienifanya niingie kapuku ni sakayo jaman huu uzi nikiingia chit chat huwa nauona siingii
Kuna siku tupo MMU na sakayo akaniambia kuna uzi huko chit chat unaitwa mapakuku nikamwambia una nini ujue me nauona sijawahi ingia
Akaniambia huko wana Raisi wao makamu wao na wana vijembe hatari nimetoka kuchungulia huko nikacheka sana tena tulikuwa na Quiqley kwenye huo uzi akatuambia ebu njoeni siku moja msisikie maneno ya kusikia mbona sisi ni watu wazuri
Basi siku isiyokuwa na jina nikaingia nikawambia nimepita kuwasalimia nikamkuta mukongo, kingli mwenyewe na lee nahisi sijui nilikaribishwa vizuri nikawa nikijiskia kuingia naingia
Ila Baba D jamaan ndio tulikutana huku mpaka leo [emoji4]
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Ni kweli
Itakuwaa poaaNdio yani hadi washangae
Nzuri shemela wa mimiSafi shemela za huko ulipo