Makapuku Forum

Makapuku Forum

9/Basant
5e3e7d71f4490d18a1d48478f49185d6.jpg
ef19349bdfc010a49f5f67506d09d7ea.jpg
Inajulikana pia kama Vasanta...ni moja kati ya misimu sita ya machipuko(spring) huko nchini India
Ndiyo sherehe kubwa zaidi ya akina singasinga a.k.a bhana kuba au ukipenda waite tu Wahindi
Husherehekewa pia na Wahindi wa Pakistan
.......
 
f7c45f814078fa3b93bb048d5363a4f1.jpg
8e74303d528dfbdeabfdf6cd92407d03.jpg
ccf6d49f5268f80b518587ee24d0eaf5.jpg
Alikuwa na umri wa miaka 26 tu
Mengi yamesemwa kuhusu kifo chake ila kwangu naamini ni cha kawaida tu kama wana damu wengine
e647198d5c3f2d89fecefb91c4dbd6a5.jpg
Alikuwa ni mke wa mfanyabiashara Mohamed Mpakanjia{marehemu) na kujaaliwa mtoto mmoja
....
Mama ramanino

Aisee namuonea huruma mwanae maana alianza kufa mama yake akafata baba yake baadae akafa bibi yake na hapa majuzi tu akamalizia babu yake mzee chifupa


Ila yote ni kazi ya mungu tu huwaga haina makosa
 
8/Easter
936f2cd28383d6d5893f0dd12e7e6ec2.jpg
88ea1d017187497c47302fcf5fc71429.jpg

Amefufuka mwokozi .....haleluyah !!
Pasaka huadhimishwa na Wakristo duniani kote ikiwa na baada ya mfungo wa Kwaresma
Pasaka ni sikukuu ya kufufuka kwa Yesu baada ya kufa msalabani siku tatu nyuma baada ya kuteswa kwa amri ya Pilato ambaye alikula dili au tuseme rushwa na akina Yuda Eskarioti a.k.a Yuda msaliti
Kupitia kuteswa kwake tumekombolewa
......
 
Wakuu leo ni sikukuu hivyo ni vizuri tujumuike na familia zetu zaidi, wale wa kipika tulieni mpike mapochopocho,wale wa kulewa tulieni tu mlewe,wale wa viwanja nendeni tu mkajirushe

Mimi kama binadamu mpenda starehe lazima ninywe,niende kiwanja kijirusha n.k hivyo leo hata segment zangu sidhani kama zitakuwepo
Sikukuu kwanza.....mengine hata kesho yatakuwepo
Eid Mubarak wadau
.........
Minal faidhina mkuu madenge
 
7/Chinese New Year
fc62e9cc5091f021c9771db9f290d18e.jpg
f75832f2da645dc01aa6f77673a3a8e1.jpg
Huu ni mwaka mpya "feki" wa Wachina.....anajulikana pia kama Spring Festival
Husherehekewa kila siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza wa kalenda ya kichina
Yaani Februari 16 mwaka huu
Ila huwa ni kati ya Januari 21 hadi Februari 20
.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom