Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
YaaniBada ya kumaliza kusoma na kuquote story zote mtu ndio akatajwa eenh
Uzi uliwaka ile mbaya
YaaniBada ya kumaliza kusoma na kuquote story zote mtu ndio akatajwa eenh
Karibuu ....Asante sana mwanaspoti wetu
Hahaha nini baeMmmmh
Shunie...Eid mubarak wapendwa mnaendeleaje jamaan
Baba D wangu miss u jaman
Muwe na sikikuu njema nipo busy na mialiko jamaan
Eeeh...Ngoja nipande juuu huko nitafute story sijui kivuruge wangu kaweka
Nilikua huko kumjua mwizi wa jf wa kiume anayetapeli watu jf hii jaman tuweni makini na kuzoeana na watu inasikitisha sana
Ni venye nakumiss tuuHahaha nini bae
Hivi jana ulilala sa ngapi ujue sa 8 ndio niliamua kulala tena bada ya kuona simu inazima charge nakuiweka kwenye charge na kuanza kuutafuta usingiziYaani
Uzi uliwaka ile mbaya
Namalizia kupika biriani mama..!Ni venye nakumiss tuu
Mama ashura mvaa shanga mia 700 Baba D nimekumiss ujueBandika banduaa kama kawaidaa leoo ...uku mkiendelea kujibugia pilau sijui ndo mjazo au makinikia lakini yote sawaa.....ewaaaaah mimi nimemuwakilisha binamu kwa mama ashura ila msiulize Ashura ana miaka mingapi.....
Soon

Mitaa yetu ndio ipi hiyoShunie...
Baadaye jioni nitakuwa mitaa yenu kule....
Nililala saa kumi bhana... Nimezurura jukwaani mpaka kwenye uzi wa usiku wa manane nikabaki mwenyeweHivi jana ulilala sa ngapi ujue sa 8 ndio niliamua kulala tena bada ya kuona simu inazima charge nakuiweka kwenye charge na kuanza kuutafuta usingizi
Jamaniiii babaa... Em rusha picha nioneNamalizia kupika biriani mama..!
Wewe si umenikimbia leo..?
Wakati naquote nilikuwa nasema leo nawakomeshaaaKwahiyo hapo umefurahiiii mwenyewe
Tunaenda wote ujueShunie...
Baadaye jioni nitakuwa mitaa yenu kule....
Ilikuwa mmu sasa hivi uzi umepelekwa jukwaa la malalamikoEeeh...
Wapi huko?
Nililala saa kumi bhana... Nimezurura jukwaani mpaka kwenye uzi wa usiku wa manane nikabaki mwenyewe
na mie jana niliingia bada ya kucomment ndio nilitoka