Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Kumbe Mzee Chifupa alikufa?Mama ramanino
Aisee namuonea huruma mwanae maana alianza kufa mama yake akafata baba yake baadae akafa bibi yake na hapa majuzi tu akamalizia babu yake mzee chifupa
Ila yote ni kazi ya mungu tu huwaga haina makosa