Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Watu wa huku wanachekesha...kila kitu wanawaza couple?
Kesho watakuuliza Transcend na Lee Empire ni couple?
![]()

Watu wa huku wanachekesha...kila kitu wanawaza couple?
Kesho watakuuliza Transcend na Lee Empire ni couple?
![]()

Muda nliopita alikuwa bado cjui muda huuSawa mke mwee ibra vipiii
Ndio hivyo ashataka dela sasa, kuna siku atakulaza njeAchana nazooo ...unafunga vitenge swadakta kabisaa
Yaan shululu amnunuliee Tumosa dera la mdundikoo na mm nifanye hivoo...shwainiii zaoo
Binamu jamaaan unapenda shanga usimfundishe Baba D hizo tabia haxijui hizo shanga
Kumbe tunapeleka ureno hiloUnabeti eeh?!
Acha tu kule ni kapuku kwa piliOhooo wacpotuona c tutafatwa hko
Me mzima Obe namshukuru Mungu asante kwa kunijali,kikongo ndio niko tuition ...najitahidi kweli nikielewe.Asante kwa kuupenda muziki huu, ushajifunza kikongo sherrie?
Mzima lakini?
Unaongea na nanAsimfundishee, unauliza kilungu kwa mgambo
Inawezekana yeye ni mshengaKuyakorogaa ayakorogee wewee akusumbuee wewee
Badae tutaendaMuda nliopita alikuwa bado cjui muda huu
Sisi wadau hatuwezi kugombana...![]()
![]()
![]()
Ila huo mfano wako komaaa kabisa kuutumiaa![]()
![]()
![]()

Mh...tangu lini muhindi akafundishwa kula pilipili?
woiiiiiiiMe mzima Obe namshukuru Mungu asante kwa kunijali,kikongo ndio niko tuition ...najitahidi kweli nikielewe.

....kwa kweli utanionea bure! mambo ya madela nguo sijui lolote sema anajulikana kwa kuwa ana kiwanja madela juu karibu na madale, unapajua?

Amefurahi buana![]()
![]()
hajaufurahia mama mchuchu akifurahia nyimbo zako anajulikana
Hahhaha jamaan nacheka sana
Acha ukuda wewe jamaa..Tuheshimianeee mkuuu ....shunie wangu