Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ukweli nina furaha na amani namshukuru Mungu sana ,barikiwa mwanangu kwa kujali![]()
![]()
nafurahi sana mama nikikuona una furaha hivi
Na huwezi kusahau, maana umakariri kama rangi ya almasiUlinifundishaga maana ya pm, hadi leo sijasahau😀
Ohooo wacpotuona c tutafatwa hkoHuko ndio nyumbani kwetu mie na mke mwee
Kwendaaaa zakoooSitaki tuu...nahisi kuna Text za wapuuzi fulani zitajaa kwenye Pm yangu..
Achana nazooo ...unafunga vitenge swadakta kabisaa
Yaan shululu amnunuliee Tumosa dera la mdundikoo na mm nifanye hivoo...shwainiii zaoo

Vipi husna mbona unaguna
Asimfundishee, unauliza kilungu kwa mgamboBinamu jamaaan unapenda shanga usimfundishe Baba D hizo tabia haxijui hizo shanga
Achaana naee mm nakupendaa ...Ewaaaa kikubwa naangalia maelewano yetu tunapendana basi ata nikishika simu yake nione sijui sijaseviwa walaaa T huo mda wa kuulizana sina kwakweli
Kaufurahia sana msinipe mawazo mimi hapa
hajaufurahia mama mchuchu akifurahia nyimbo zako anajulikana
Ukweli nina furaha na amani namshukuru Mungu sana ,barikiwa mwanangu kwa kujali

Unauliza jibuUnabeti eeh?!
Bar na kapukuUnakeshea wapi?! Bar msikitini au makapuku?!
Niliona mkuu mpendwa bwanaNilielewa, uliona tafsiri ya mpendwa wako
Hajui kweli shemelaAsimfundishee, unauliza kilungu kwa mgambo
Sawa Baba D nimeachana naeAchaana naee mm nakupendaa ...