Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....hongera. Utapumzika sasa eeh, ndo unaamini hivyo eeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....hongera. Utapumzika sasa eeh, ndo unaamini hivyo eeh
Si nilikuelekeza binamu jinsi ya kupataSimu yangu sioni maua, sasa nitampaje unadhani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu banaIkiwa kesho ni Sherehe za Eid sio mbaya tukajua haya mambo muhimu. ..
MAANDALIZI YA EID
Zijue aina kuu 3 za pilau
1. Pilau Mjazo
Hii ni aina ya pilau ambayo ina nyama nyingi.
2. Pilau Makinikia
Aina hii ya pilau, nyama ni za kutafuta, hazionekani juu mpaka uunde tume.
3. Pilau Mfuto
Pilau hii huwa haina nyama, sanasana utaambulia viazi
Nilishamfundisha mie na screenshot nimemtumia[emoji134] [emoji134] Omba Shunie akufundshe
Mh binamummmmh, sijui kama atakubali maana yeye na BH wanajijua wenyewe tu. Hawajawahi kuniamini hata nusu dakika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe, hongera zenu
Cha utundu kwenye ubora wakoHaijapanda bei anko, ladha ni ile ile sema si ulizoea zile geisha bonge, sasa kuna geisha miss potabo. Huwa naziona dukani
[emoji120][emoji523] BABA Asante kwa jioni ya leo endelea kutupigania ,wewe ni Ebenezer,tunakushukuru kwa yote .
JIONI NJEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
MPE tuNipo ubungo hapa jamani toka mkoani kuna jamaa anataka kuniuzia tecno C9 kwa elfu 40 vipi nimpe?
[emoji15]Mmmmmh! Hiyo ni salamu shirikishi ila hadi kusahau mkoba basi polisi jamii inakuwa salamu jamiiana
Cha utundu kwenye ubora wako
[emoji4] [emoji4]Mupage tuu buana
[emoji101]Usinambie madenge, ilikuwaje mpaka akausahau
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Simu yangu sioni maua, sasa nitampaje unadhani?
[emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji134] [emoji134] Omba Shunie akufundshe