Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Bora umekuja anko, unadhani nisingeuchuna ule msala ningeumalizaje? Yaani full majanga, sikukuu siku mbili huyu chimumuna huyu Shia. Ndo utajua haikuwa rahisi.
Umesharudi?