shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kasemaje sasaMjombaangu hapo juu kamuuliza Bitoz,nami nakuuliza wewe! Unabisha au unajitete
Kasemaje sasaMjombaangu hapo juu kamuuliza Bitoz,nami nakuuliza wewe! Unabisha au unajitete
Binamuuuuuuuuuuuuuuu![]()
![]()
![]()
hii kituuu nomaaaaaa...
...yangoyoooo...elookooo .....ototomeeee....
Ngonga ango ya ngoyo....
Ya ngoyo...
Ngonga ango ya ngoyo
Ya ngoyo...
Tango ya ko loba oh ya ngoyo
Eloko oyo eleki diamant ya ngoyo
E somba ba mituka oh Eloko oyo
E somba ba lopango oh Eloko oyo
Poto pé mikiloh pè na Eloko oyo
Eloko yango nini eh Miziki
Eloko yango nini eh Miziki
Na lela oh bisso oyo......
Ba kolo Mbonda oh bisso oyo
Na lela ooh bisso oyo......
Ba kolo Mbonda oh bisso oyo....

Mme mwee umetishaEwaaaaaaaaaah alafu apooo nikipanda stejini ukiwa umeshika briiiifuukeeesiiii kipigweee attente kama cha kuingilia mwisho agongeee hiki amalizeee na associe ....uku ukiona yale matoto mazuriii yakinenguaaaaaa.....weeeeee..
Jumapili: HKL
Ni Jumapili na inaishiria. Wote naamini mmekuwa na siku nzuri, wa kwenda kanisani, safi. Wenye Eid leo, hongera na ambao bado hatujauona mwezi, tuendelee, mufti kasema kesho mambo yanajipa, inshAllah.
Jumapili huhitaji makeke mengi, ni siku inayokuandaa na wiki nyingine ya kazi na michakato inayokupa maana ya kuishi. Unaikumbuka kazi ni Uhai? Hii ilikuwa ni moja ya 'motto' kama ilivyokuwa kilimo kwanza, siasa ni kilimo, elimu kwa wote na sasa hapa kazi tu.
Anaitwa Fally Ipupa, mwanamuziki muimbaji na mpiga gitaa kama ulikuwa hujui. keshafanya kazi ya kuimba na kupiga gitaa kwenye bendi ya Koffi Olomide- papa Mopao. Ana tuzo kibao za MTV na keshafanya wimbo na Olivia wa kundi la kina Big Poppa USA.
Sikupanga kukicheza leo kibao hiki nikiamini kimekaa kimikatiko, I was totally wrong, huu muziki wake kama ulivyodhaminiwa na Shunie umenifanya niingie chimbo kumsaka na kumwangalia zaidi. Maana nilizoea tu kile kibao chake cha Bakanja shika mu mbele🙂.
Hapa mwangalie katika clip hii ya YouTube akiimba kiulaini yaani hata umepanda bodaboda (siku hizi zina muziki wa subwufa- asante mchina) bila kuvaa helmet utaufurahia. Japo sijamwelewa hizo alizojifutika kiunoni ni shanga au nini, amua mwenyewe, usisumbuke kuhesabu yupo shululu atatoa tathmini (joke)
Asante mdhamini (ukumbuke tu kuniwekea dhamani kuleeeee) Shunie. Tuwe na wiki njema Makapuku wote, wafanyakazi kw wanafunzi. Yote tuliyopanga kwa wiki hii mpya angalau yafanikiwe.
Kabla sijasahau, nakukaibisha Eid hapo kesho: Eid Mubarak
HKL- Hii Kitu Laini ----(muziki laini leo)😵
Anajuaa sanaaShunie anajua kuwa unajua kuimba![]()
![]()
Yote yake hayo?!...pedeshee mutu ya watu, muzee ya peremende, muzee ya kugawa cheni za goldna silver mutamu ya batoto bazuribazuri
Binamu me nimechoka kila siku nikuelekezeNiliviona sasa nafikri huyu mhamiaji haramu kabadilisha settings. siamini kama vimepotea, hivi hakuna hata mmoja anayenionea imani jama! Nikielewa hiki najua mambo yatakaa vizuri mara anatokea afliti mmoja anaharibu
Yaani wewe kila mwanamke hapa unasingiziwa?Mnanisingizia
......
Baba D mie nishajizoelea ujueMkuu shimmy ni nani ujue shunie ana moyo umekaa upande
Mh ngoja ninyamaze tu![]()
![]()
![]()
ndo ujitetee
Ila Bitoz una makusudi ujueNaona kuna couple kibao
Lee & Shummy
One & Husna
Baily & Madame
Shululu & Tumosa
Transcend & Sakayo
Ila Bitoz yupo na mifugo yake tu
![]()
![]()
![]()
.....
.......
jina langu ndio kila siku unakoseaEwaaaaaaaaaah alafu apooo nikipanda stejini ukiwa umeshika briiiifuukeeesiiii kipigweee attente kama cha kuingilia mwisho agongeee hiki amalizeee na associe ....uku ukiona yale matoto mazuriii yakinenguaaaaaa.....weeeeee..
Atariiii mamaaa
Yule jamaa ambaye huwa unampigia chapuo kwenye thread jukwaa la siasa.Nani huyo jamani!?
Mjombaangu hapo juu kamuuliza Bitoz,nami nakuuliza wewe! Unabisha au unajitete
mpendwa banà
Bhinamu ana akiliii sana ....anajua kusoma siku za watuMme mwee umetisha
