Umejiuliza nilivyojiuliza? Huyu ni mrajisi au mwakilishi mkazi au dalali wa chuo, mshauri wa masomo au ni 'msanii' tu. Maana chuo sina campus hapa nchini?
.....nitasahau vipi mjomba, kitu Kolza wangu baba, Suke Chile, Chezi Temba na Defao, nalikumbuka sana na ninalitafutia muda muafaka maana ni bonge la goma. Anko unajua kuchagua madude