Makapuku Forum

Makapuku Forum

610be0707697d51642129cd634b6f663.jpg
End
......
Asante mkuu Bitoz... Nimejifunza kitu leo...

Be blessed
 
Habari za asubuhi mdogo wangu....

Jana Sijamuona wala sikuwa jukwaani nilikuwa nasoma tuu kupitia web
Safi dada za wewe umeamkaje ujue alirudi na id nyingine ya 3 inaitwa ipy tukawa tunachat chit chat kwenye uzi wa wapendanao wakina bonny na daby walikuwa wanamtania sana maskini auntie yangu kuwa wamwitie kiboko yake anayesababisha anabadili id kila siku

Badae usiku ikafunguliwa id yake ya espy akakuulizia sana nikamwambia nilimuona juu kwa juu kapuku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom