Makapuku Forum

Asante sana T wa Sakayo kwa nukuu,hili jambo ni kitendawili...nimewahi kushiriki miradi wa kurudisha mabinti mashuleni,kuwajengea uwezo wamama wadogo kujitegemea ,kuwashauri mabinti kutoshiriki ngono kabla ya wakati(wamalize masomo kwanza) katika ngazi ya kaya,jamii,kanisa nk

Hawa watoto wengi huwa hawapati ujauzito kwa kukusudia,au starehe au mpango maalumu...hutokea tu kama kufumba na kufumbua ..na nakuhakikishia viongozi wengi ni wahanga wa hii changamoto wao wenyewe au wanafamilia...si jambo jema lakini likitokea ni muhimu kuwasaidia hawa watoto sio kuwa tenga...na mara nyingi walifanya vizuri kimasomo na kimaisha ...sina uhakika sana nini kitatokea kuanzia sasa...tumuombe Mungu atupe ufunuo katika hili.Ila mimi msimamo wangu hili likitokea katika familia yangu ATASOMA TU KWA GHARAMA YOYOTE.NITAOKOTA HATA CHUPA,VYUMA CHAKAVU,VIBARUA,NIPATE KIPATO NIMPELEKE SHULE
 
As your name...

Be blessed kwa mchango wako wote..
 
shemela,wanafunzi wa kike ni wahanga wakubwa ktk suala la mimba za utotoni,Mungu awape busara viongozi wetu ktk kupambana na tatizo hili,sio la kulichukulia kimzaha kwa kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…