
(Kampala International University-KIU) Tawi la Dar es salaam kwa kusoma kozi mbalimbali katika fani ya Biashara, Afya, Sayansi ya jamii, Elimu, Sheria na Sayansi ya Computer katika ngazI zote kuanzia Cheti, Diploma, hadi Degree fomu zinapatikana popote ulipo kwa kuwasiliana na Mr Hommy Sasya kwa simu no +255715896366ShukraniEnd![]()
......
Nzuri kabisaNko poa hbr ya wkend
Hiyo # siyo ya "mpigaji" ?TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Tukielekea kwenye msimu mpya wa masomo
Wale wote wenye ndugu, Watoto Jamaa,Marafiki au wao wenyewe kama wanahitaji kujiunga na Chuo Kikuu Cha Kimataifa cha Kampala(Kampala International University-KIU) Tawi la Dar es salaam kwa kusoma kozi mbalimbali katika fani ya Biashara, Afya, Sayansi ya jamii, Elimu, Sheria na Sayansi ya Computer katika ngazI zote kuanzia Cheti, Diploma, hadi Degree fomu zinapatikana popote ulipo kwa kuwasiliana na Mr Hommy Sasya kwa simu no +255715896366
"Exploring the Heights"
ZABURI 37
5.Mkabidhi Mwenyezi -Mungu maisha yako;mtumainie yeye naye atafanya kitu.
BABA Mwema tunakuja mbele yako mchana huu tukikushukuru kwa yote unayotenda,asante kwasababu unatupenda tunaomba endelea kutuimarisha tuendelee kukutumainia wewe tu maana utafanya kitu,utatuponya,utatupa riziki,utatupa upendo,utatupa ajira na mahitaji yetu sawa na mapenzi yako.asante kwa sababu ya mahali hapa MAKAPUKU pamekua sehemu yetu njema na tunajifunza na kushirikiana kwa upendo endelea kutusimamia mfalme wa amani maana utatupa kushinda.
Waangalie kwa wema wanaopitia changamoto mbalimbali wape matumaini na ufumbuzi wa kila jambo.
Tunomba yote katika jina la Yesu Amen
MCHANA MWEMA MBARIKIWE SANA![]()
![]()
![]()

Yaani inaumiza ,hayo tunaambiwa walala hoi watoto wao yakiwakuta wanawapeleka ulaya,india,malasia,kenya,uganda ...nk wanasoma vizuri....wengine mimba wanapewa na haohao wakubwa na hata hawashitakiwi...nikisema hv nimeona na kusikia mengi..Mungu atusaidie tu kuwasimamia watoto na vizazi vyetu ndio zawadi pekee Mungu aliyotupa hatuna utajiri mngine,tuwaleee katika maadili ikitokea tuwasaidie tu wasonge mbele![]()

Salama kaka hbr ya uzimaHabar zenu makapuku wenzangu niwatakie weekend njema