Makapuku Forum

Makapuku Forum

2012 - Rais wa Paraguay, Fernando Lugo anaondolewa madarakani na Bunge la Nchi hiyo .

Federico Franco anachukua wadhifa huo punde tu.
f94fde354bf1f726b2e323e522e55739.jpg
ccdec92654b1a0fc2d8823d2bad427b8.jpg
Hawakuishia hapo tu pia walimtia korokoroni
Ilitokana na kusapoti mauaji ya raia/waandamaji/waasi mitaani waliokuwa wakipambana na Polisi pengine kumpinga yeye

Hapa kwetu bwana yule ni jeuri dhidi ya bunge na Mahakama...
Anafanya atakavyo hata "akivunja katiba" wanamchekea tu km vile ni bwana wao
.....
 
1903 - John Dillinger anazaliwa.

Alikuwa ni Jambazi sugu aliyesumbua nchini Marekani katika miaka ya 1930's kipindi cha Mdororo wa Uchumi.

Alikuwa na genge lake kubwa la kihalifu lililokuwa linavunja benki na kuiba.

Alikuja kuuliwa na FBI mara baada ya kutafutwa sana.
f9de6c49a02843ba55243b85053edd5f.jpg
a3856b9f4f01fbe8fe18dc6d1d0bae21.jpg
Alitamba na akina Prettyboy Floyd & Babyface Nelson waliisumbua Marekani vilivyo enzi hizo
Bwana mkubwa wa FBI Edgar J Hoover kwa kutumia weledi akafanikiwa kuwanyamazisha kimyakimya
e5f11fd5d66305d911dd21805939c66c.jpg
e152ad14c44f591f43ecc96f2248ddbf.jpg
Baadhi ya muvi
......
 
30e28a4c0d287ac266d825cf6bb7f3f2.jpg
f48c06f5a857bdf7d2c06affd7a3bee3.jpg
98e54299ff40b0689e8415d25dbafd6a.jpg

Wenyewe walimpachika jina la Desert Fox
Alifariki mwaka 1944 wakati wa WW2(nafikiri alijiua pamoja na Hitler baada ya kuzidiwa na kuzingirwa)

Hapo kwa majirani zetu Uhuru Kenyatta anajiitaField Marshall wakati hajapigana hata kavita kamoja .....Al Shaabab tu wanamchezea sharubu
.......
hahahah! umeniacha hoi hapo kwa ndugu yetu Kenyatta.. Al shaabab wanavuruga afu ujiite Field Marshall
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom