Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,926
Shemela Shululu naomba usome we ni shahidi yangu mkuuTenaaa nyeupeeeeeeeeee
Shemela Shululu naomba usome we ni shahidi yangu mkuuTenaaa nyeupeeeeeeeeee
1942 - Jenerali Erwin Rommel wa Jeshi la Nazi anapandishwa cheo na kuwa Field Marshall mara baada ya kuuteka mji wa Tobruk huko Libya.
1903 - John Dillinger anazaliwa.
Alikuwa ni Jambazi sugu aliyesumbua nchini Marekani katika miaka ya 1930's kipindi cha Mdororo wa Uchumi.
Alikuwa na genge lake kubwa la kihalifu lililokuwa linavunja benki na kuiba.
Alikuja kuuliwa na FBI mara baada ya kutafutwa sana.

R.I.p jambazi1903 - John Dillinger anazaliwa.
Alikuwa ni Jambazi sugu aliyesumbua nchini Marekani katika miaka ya 1930's kipindi cha Mdororo wa Uchumi.
Alikuwa na genge lake kubwa la kihalifu lililokuwa linavunja benki na kuiba.
Alikuja kuuliwa na FBI mara baada ya kutafutwa sana.
R.I.P1993 - Pat Nixon anafariki Dunia.
Alikuwa ni Mke wa Rais wa Marekani, Richard Nixon.
Kumbe
Bendera yao ina msalaba wanjano/dhahabu ukiwakilisha Christianity![]()
Rangi ya blue imewekwa kwa sababu [bNgao yao ya Taifa[/b] ilikuwa na rangi hiyo
Hili ni Taifa lililojaa Wakristo
......
Aminiiiii
SwalamaaaaaaSwalama humu???
Mbona unachekaa sasaAsante husna muba wa Obe![]()
![]()
![]()
Ohoooooo....Asante husna muba wa Obe![]()
![]()
![]()
Mambo yako poaaMorn
Mambo niaje
Jamaniiii kiroho safiiii ....wewe ni Man uHahahah hivi ebu jaribu kuniulizia hajanirudisha kwa mkopo kweli
Woteee wasomeeeShemela Shululu naomba usome we ni shahidi yangu mkuu
Sawa Baba D ninachoogopa ligi kuanza tu usije nibadilikiaJamaniiii kiroho safiiii ....wewe ni Man u
Kwani kakoseaa wapiiiOhoooooo....
Yule ni mpendwa wangu tuu baasi
Wameshasoma Baba DWoteee wasomeee
Jamaniiii kuwa na amaniiii muhimu ukifungwa nkakufunga usininunieee mpenziii ...aki yangu nipateee kama kawaidaSawa Baba D ninachoogopa ligi kuanza tu usije nibadilikia
1986 - Kombe la Dunia mwaka 1986 nchini Mexico: Mechi ya robo fainali baina ya Uingereza dhidi ya Argentina inafanyika.
Diego Maradona, nahodha wa Argentina anafunga magoli mawili murua na kuitoa England kwa jumla ya magoli 2-1.
Goli la kwanza, Maradona alilifinga kwa mkono na goli hilo linajulikana kama Goli la Mkono wa Mungu.
Goli la pili, Maradona alipiga chenga wachezaji watano wa England kabla ya kufunga. Goli hili linajulikana kama Goli la Karne.
Hiyo ni moja kati ya mechi za kukumbukwa za wakati wote katika historia ya mchezo wa soka.
Anajistukia huyooMbona unachekaa sasa