Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji57] [emoji57]Anajifanya kufukunyuaa
[emoji57] [emoji57]Anajifanya kufukunyuaa
Mke mwee kuna kitu kipya ila sasa inapoelekea itahamishwa jukwaa aisee si kwa mambo yale yanayoongelewa ya kikubwaNajua binamu ni mfitinishaji mzuri wa ndoa za watu kwa hyo czngatii anachosema
[emoji134] [emoji134] [emoji134] kama wwe unavyokipatagaAtakipata anachokitaka
Hahahaah uliyataka lakini mke mwee[emoji134] [emoji134] [emoji134] Weee binamu kweli
Najua binamu ni mfitinishaji mzuri wa ndoa za watu kwa hyo czngatii anachosema
Muziki: Fikiria Ajira
Ni jioni tena na ndo tumeshaimaliza siku. Hongera sana uliyemaliza kazi na kazi njema kwa wewe unayeelekea au bado unapiga kazi. kazi ni kazi ila iwe halali tu kwa mujibu wa sheria na kanuni bila kusahau taratibu zinazokubalika na familia.
Nilikuwa na siku nzuri leo, sana na muda wote nilitembea huku natabasamu hasa nikikumbuka kuwa nilitoka home bila kuoga ila nikajikandika mafuta usoni na kujipulizia pafyumu kibao (natumia Lara Wild Cologne) na deodorant ya Speed Stick magic 24. Nikawa natabasamu kama customer care wa Jaza Ujazwe. Safi sana kwenu wote mlioamua kuianza na kuimaliza siku bila kuoga, tupo wengine tunapenda harufu za vikwapa.
Nimesoma humu kuwa kuna nyuzi zimeanzishwa na kutishia uhai wa Makapuku Forum, hivi hizi zinazoanzishwa zina maudhui kama ya MF? na je MF inashindanishwa nazo kwa kipi? MF ni kokoro, kuna kila kitu utapata humu, mafundi wa siasa hadi wapigakura, wapenzi hadi wapenzi wasikilizaji, walimu hadi wanafunzi, maprofesa hadi mapropesa, waheshimiwa hadi watoa heshima. Wote tumo humu na hatushindani na yeyote, wanaweza kudhani wanashindana na MF ila ukweli unabaki kuwa ukweli hauna kutu MF ni zaidi ya thread, ni Jukwaa.
Muziki na utamu wa gitaa ndiyo sasa wakati wake, ndugu Makapuku wenzangu (fikiria kama natoa risala vile) mara nyingi tangu nianze kuleta hii kipengele ya muziki na utamu wa gitaa nimekuwa sijawaangalia sana wanaochipukia kwa kucopy nyimbo ambazo zimetamba. leo ni siku yao na kwa kuwa wako kwenye siku yao basi tuwaheshimu pia.
Kwetu hapa kulikuwa na BSS ambayo mwanzoni ilikuwa poa sana na niilifuatilia vizuri, baadaye ikawa too commercialized kiasi kwamba ikawa ni matangazo mengi kuliko kuwaandaa vijana kuibuka kwenye muziki. Nikahamia TPF hawa walifanya vizuri sana pia.
Leo nitakuonjesha ladha kidogo ya TPF, angalia muziki live ulivyotulia na kama kawaida gitaa linasikika kwa utamu kabisa.
Burudika na kitu cha Tabu Ley Muzinaaaaaaaaaaaaaaaa
Hadi wakati mwingine, nakupenda mdau mwenzangu wa Makapuku. Usisahau ajira uliyonayo na unayoisaka sio tu kwamba inafaida kwako bali ni muhimu kwa maendeleo yetu kama taifa. Zidi kutabasamu hata kama hujaoga.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilitaka kushangaa binamu labda me na wewe tuna ugomvi halaf sijijui
La mimba changa ni kweli binamu wala simu haijakosea na inanisumbua kweli tena nikisikia hizo habari zenu najisikia hata kichefu chefu
Hii mimba kiboko haitaki habari za makinikia wala wahamiaji haramu wala wale wengine
Usicheke mama obe ...binamu kanifanyiaa figisu nyingi kipindi kile sema bhas alikukuwa ananitoaa zile soda za peps[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
UngejuaaNajua binamu ni mfitinishaji mzuri wa ndoa za watu kwa hyo czngatii anachosema
Ubarikiwe mkuu Bitoz kazi yako ni njema asante sana
Asante Bitoz
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] huyu kavunja rekodi
mkuu shukrani kwa top ten yako.. imetulia
Pamoja sana wadauDuh
Asante Bitoz kwa top 10
Nakupendaa weee mwanamke jamaniiiiiiHahahaah uliyataka lakini mke mwee
Acha nijinyamazie mie ungekuwa unafurahia binamu ungekuwa unaongea habari zako hizo...lol! Aisee, sasa hapa mfitinishaji ni mimi au yeye aliyehesabishwa?
Ukinilabel hivyo mtu wa kwanza kunitetea ni aunty yangu Shunie huyu anjua kabisa navyofurahia wakiwa na anko wangu
Na kwako pia madengePamoja sana wadau
Niwatakie usiku mwema
...........
Jamaniii kwani bhinamu ana ubaya upiiAcha nijinyamazie mie ungekuwa unafurahia binamu ungekuwa unaongea habari zako hizo
Nakupenda munoo Baba D wangu mimi apa [emoji259] [emoji257] [emoji255] [emoji253] [emoji8]Nakupendaa weee mwanamke jamaniiiiii
Wazungu wamembania[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] huyu kavunja rekodi
Siyo kila sikuUbarikiwe umeniongezea elimu, ushanipa ratiba ya kupitia huu uzi kila siku.
ubaya wake leo huuoni baba d mambo ya vyeusi mangala na makinikiaJamaniii kwani bhinamu ana ubaya upii