Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
Kuna nukuu inasema;Maisha ni vile ulivyoigusa mioyo ya watu siyo miaka uliyoishi
Ally Yanga ataishi mioyoni mwa wapenda soka wengi Tanzania na pengine Afrika Mashabiki
......
Ooooooh kumbeeNipo sawa
UtanitagHebu weka picha
Kwelii kabisaKuna nukuu inasema;
Utakumbukwa si kwa mali au utajiri ulioacha bali ni jinsi gani maisha yako yaliwagusa watu.
1983 - Edward Snowden anazaliwa.
Kachero wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA ambapo pia ni mtaalamu wa masuala ya Teknolojia, habari na mawasiliano.
Aliacha kazi ghafla na kuanza kutoa siri nyeti ( Classified Documents ) za Marekani hasa za utawala wa Rais wa 44 wa Marekani, Barack Obama.
na makininikia je?Ha ahahhahahaha, hapana mdau humu Kapuku hakuna muhamiaji haramu hata mmoja sema kuna mukongo yeye anatoka nchi ya kigeni
binamu nimecheka sana aisee hasira za mlipuko eti labda ni hiyo mimba changa binamuMdau, nampenda aunty yangu saa hivi masuala ya lee empire na cm na yule teller nayafumbia macho kwanza maana amekuwa na hasira za mlipuko, nadhani mimba changa
....haha hahahahahaha! Nimecheka hadi nasikia kiungulia utasema maandishi yako yana ladha ya beans
Na ndio kilichotokeaAha ha, ha ha kudata lazima
1991 - Gael Kakuta anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Chelsea mwenye asili ya Kongo.
Asanteee
na kwako pia Baba D wa shuniiWakuu tuwe na siku njema ...tukumbuke kufanya yaliyomema
Na humu JF ntu atakumbukwa kwa maandishi yake yalivyowagusa mioyo ya watu na siyo furushi lake la likes wala wingi wa postKuna nukuu inasema;
Utakumbukwa si kwa mali au utajiri ulioacha bali ni jinsi gani maisha yako yaliwagusa watu.
hofu kwako tu madame s pole na mfungoGoodmorning
Hope mko poa.
habari za niyonzima sizielewi jana nimesoma gazeti mpka juzi usiku yupo na yanga na walifuturu pamoja wanambembeleza kuhusu kusign
R.i.p Ally Yanga
Asante shemela kwa magazetiMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini Nawatakieni wote siku njema
Kwa udhamini mnono wa Obe
Apumzike kwa AmaniDaaaaah Udongo unameza ....R.I.P Ally wa Yanga ...
............Huyu mwanadamu alikuwa ni star katika mastar wanaoishi jukwaani katika kila mchezo wa Yanga na wa Taifa stars, huyu mwanadamu kila wakati alivutia kwa ubunifu wake jukwaani...... Nani alikuwa hamfahamu mwana Sanaa huyu, Nani alikuwa hamfurahii mwanadamu huyu...... Sio Mimi tu, sio wewe tu, hata camera za runinga zilimfurahia kila timu yake ilipokuwa inashangilia goli..... Alivutia wakati wa kushangilia goli kwa staili ya kuchinja lakini pia alivutia zaidi wakati ana kuhuzunika baada ya kufungwa.
Nenda sasa ukapumzike Ally Yanga, picha zako ni ushahidi tosha wa ufalme wako jukwaani kwa jezi za Yanga na taifa stars katika Sanaa yako. Mwenyezi Mungu aipe faraja familia yako katika kipindi hichi kigumu, lakini pia Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi AMEN.
Tangulia hiyo ndio njia yetu sote. Inalilah waina ilaih rajiun
Shikamoo MamaAsante Lee wa Shunie nami mzima kabisa nimeamshwa salama