Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Duuuu aiseeee mungu aliumba banaaa[emoji38]Nasema huo ubaguzi sikubali![]()
Basi "akina waarabu sura mbaya" nao wangefukuzwa
.....
Duuuu aiseeee mungu aliumba banaaa[emoji38]Nasema huo ubaguzi sikubali![]()
Basi "akina waarabu sura mbaya" nao wangefukuzwa
.....
Leo Katika Historia:
1957 - Ellen Fairclough anakuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa Waziri katika historia ya Canada.
Safi kabisa dada, za siku nyingi aisee?Morning kaka ake! Habari ya wewe?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] naona umevurugwa kabisaaHivi kwa sasa yuko wapi nitafute vijicent vya kupiga nae japo picha??? Maana sio kwa uzuri huo
[emoji4] [emoji106]Hongera kwa 219K
Kumanya ndio nini bwana perembende?Nimekumanyaa
Asante mwenyekitiLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Njema kabisaSafi kabisa dada, za siku nyingi aisee?
Za kwakoMorn mkuu
Pole Sana, nitajaribu kuzitafuta tena aiseeNjema kabisa
Nimesikitika sana ulipotoa zile converse[emoji53]
1963 - Kadinali Giovanni Battista Montini anachaguliwa kuwa Papa Paulo wa VI.
AsantePole Sana, nitajaribu kuzitafuta tena aisee
Lakini wewe[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
UmetishaaaaaNami nataka mauzo! Mambo ya frent fod na nini[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aha ha ha ha ha ha ha na wewe umemzimikiaaDuuuu aiseeee mungu aliumba banaaa[emoji38]
Nzurii mkuuHabar za asubuh wandugu
Ata sielewiiiiKumanya ndio nini bwana perembende?