Makapuku Forum

Makapuku Forum

1962 - Joko Wododo anazaliwa.

Ni Rais wa 7 wa Indonesia.
749ada4f724ed419dee53324f59dfb8a.jpg
02794b568f753e3aadb9b686508de8bb.jpg
Wenyewe upendelea kumwita Jokowi
Alikuwa Mega wa Jakarta 2012--2014
Ndiye Rais wa kwanza wa Indonesia ambaye ni "mchanga kisiasa" na ambaye pia hajawahi kuwa rank/cheo cha juu jeshini
.......
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Kwa kweli inasikitisha but hizo picha bwana da nimecheka aisee huyu jamaa ni bonge la msanii
Maisha ni vile ulivyoigusa mioyo ya watu siyo miaka uliyoishi
Ally Yanga ataishi mioyoni mwa wapenda soka wengi Tanzania na pengine Afrika Mashariki
......
 
Back
Top Bottom