Makapuku Forum

Makapuku Forum

17b05f15ff8c92946fac245ed6f20db0.jpg
Ningekuwa mimi nawagomea
Huu ni ubaguzi na unyanyasaji
.
.
.
.
Asubuhi njema
......
Nawe pia
 
1955 - Michel Platini anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Ufaransa.

Mmoja kati ya wachezaji bora wa wakati wote kutokea Ufaransa.

Alishinda Ballon D'or mara tatu mfululizo kuanzia mwaka 1982-1985.

Alitwaa Euro mwaka 1984 katika ardhi ya nyumbani.

Amewahi kuwa Rais wa Uefa kabla ya kuondolewa kwa kashfa za rushwa.
 
Happy birthday na ongera kwake kwa mafanikio katka sokaa
 
3d6b3785868030421c0145c7927aff93.jpg
986adcbf8aec43c85791a7b5fd8f0a29.jpg
dfb77c8e37540d03e7ea9e287de5f3dd.jpg
6cb1759f74097ae84708cd44b6505f39.jpg
9391c59db6ad4121672b2c7b63b86523.jpg

Picha zinasisimua
RIP mwanajangwani mwenzetu
.
.
.
Juzijuzi tu Simba wamempoteza shabiki wao wa kike kwenye ajali ya Jonas Mkude
So sad
.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwa kweli inasikitisha but hizo picha bwana da nimecheka aisee huyu jamaa ni bonge la msanii
 
1983 - Edward Snowden anazaliwa.

Kachero wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA ambapo pia ni mtaalamu wa masuala ya Teknolojia, habari na mawasiliano.

Aliacha kazi ghafla na kuanza kutoa siri nyeti ( Classified Documents ) za Marekani hasa za utawala wa Rais wa 44 wa Marekani, Barack Obama.
 
Back
Top Bottom