Morning Madame sGoodmorning
Hope mko poa.
Daaaaah Udongo unameza ....R.I.P Ally wa Yanga ...
Asante mkuu na pole kwa wapenzi wa soka kwa kupoteza "jembe" kama vijana wasemavyo katika tasnia ya mpira hasa upande wa pili jukwaanMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini Nawatakieni wote siku njema
Kwa udhamini mnono wa Obe
Me niko njema nashukuru MunguGood morning ...tuko poa hofu kwako tu
Inshallah Allah atuwezeshe tumalize salamaMfungo 26 leo hivyo bado siku 3 au nne, Ramadhan Kareem!
Asante Lee wa Shunie nami mzima kabisa nimeamshwa salamaNi siku nyingine tena Mungu katuwezesha kuionaaa...upande wangu niko salama kabisa ofu na mashaka ni juu yenu kapuku wenzangu ...
Soon simulizi , UF na dondoo za bbc

Karibu mama mchungaji na ubarikiweAsante Lee wa Shunie nami mzima kabisa nimeamshwa salama![]()
AminaaaMe niko njema nashukuru Mungu
Ramadhan MubarakMfungo 26 leo hivyo bado siku 3 au nne, Ramadhan Kareem!
SureUF .....![]()
Haahahaha