Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Morning habiby..Morning ladies and gentlemen
Morning habiby..Morning ladies and gentlemen
1982 - John Hinckley hakutwi na kosa lolote kutokana na sababu ya kuwa na matatizo ya akili baada ya Jaribio lake la kujaribu Kumuua Rais wa Marekani, Ronald Reagan.
ShukraniLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Unagoma ila ndo hivyo huna jeshi, utazidiwa nguvu tena virungu tu

Sijajua alipo ila nafikiri alipata dili la umodo,matangazo au kucheza filamuHivi kwa sasa yuko wapi nitafute vijicent vya kupiga nae japo picha??? Maana sio kwa uzuri huo
Kunywa pombe siyo dhambi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Walevi utawajua tu
Nzuri mkuu niaje weweZa kwako
Ndio mimiLakini wewe
Kidogo tu sio sanaAha ha ha ha ha ha ha na wewe umemzimikiaa
Km huelewi kwann ulisema?!Ata sielewiiii
Yani huyo kaka ni Handsome kuliko hata malaika naachaje kudata sasa kwa mfano???![]()
![]()
![]()
naona umevurugwa kabisaa
HayaaaakunywamkuuKunywa pombe siyo dhambi
Ulevi ndo unakatazwa
.....
Yani huyo kaka ni Handsome kuliko hata malaika naachaje kudata sasa kwa mfano???
hebu tupia picha ya malaika tulinganishe1953 - Benazir Bhutto anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 11 wa Pakistan.
Aliuwawa mwaka 2007.
Wapi?Umechapia
Shukrani kwA historicLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Hakika baaada ya kukandamizwa sanaHapo mwanamke anaanza kukubalika kwenye jamii
1955 - Michel Platini anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Ufaransa.
Mmoja kati ya wachezaji bora wa wakati wote kutokea Ufaransa.
Alishinda Ballon D'or mara tatu mfululizo kuanzia mwaka 1982-1985.
Alitwaa Euro mwaka 1984 katika ardhi ya nyumbani.
Amewahi kuwa Rais wa Uefa kabla ya kuondolewa kwa kashfa za rushwa.
Naona kumekucha kamanda leeNzurii mkuu