Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nishapoa

Sasa shunie eh nifanyie fanyie kampango kengine
Wanawake hawa wa kuokotelezewa mitandaoni hujajifunza tu? Safari hii kuwa ngangari acha udomozege tafuta mwenyewe hata akikushinda unajua kwamba ni matunda yako na juhudi zako. Hawa wa kupewa hawa - hasa ukizingatia kuwa jamaa aliyekupa ulikuwa unazengea mkewe hapo mwanzo - yaweza kuwa ulikuwa mtego ili kukuumiza. Jichunge ma braza na nina uzoefu na haya mambo. Usiingie tena katika mtego ule ule. Huna moyo wa jiwe ati!
 
ZABURI 29

1.Mpeni BWANA ,enyi wana wa Mungu,Mpeni BWANA utukufu na nguvu.

2.Mpeni BWANA utukufu wa jina lake ,Mwabuduni BWANA kwa uzuri wa utakatifu.

BABA asante kutufikisha muda huu ,tunaomba ulinzi wako nyumba zetu,vitanda vyetu pawepo vituo vya malaika walinzi tujalie kuiona kesho kwa utukufu wa jina lako takatifu Damu ya Yesu itufunike sawasawa na mapenzi yako,tuonaomba toba na rehema kwa yote tuliyoenda kinyume na mapenzi yako.

Asante BABA Maana unatupa kushinda nasi tunakupa Sifa,Utukufu,Heshima,Nguvu na Shukurani katika jina la Yesu Amen

USIKU MWEMA WAPENDWA MBARIKIWE
 
Ni siku nyingine tena Mungu katuwezesha kuionaaa...upande wangu niko salama kabisa ofu na mashaka ni juu yenu kapuku wenzangu ...

Soon simulizi , UF na dondoo za bbc
 
UF .....
08036cad95e01f06fb58118b80689639.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom