Makapuku Forum

Makapuku Forum

f451c07270b2114fcc23ca116e064051.jpg
Kadogo kweli
 
Napenda ru mbwembwe za SHIMBA na msemo wake "Sihitaji demu wa mtandaoni" halafu anawazodoa Husna na Sheds......huwa nachekag balaa

.......
Sema madenge. Nina kisa cha kweli cha kusikitisha na kufundisha kuhusu hawa mademu wa mitandaoni. Nitakisimulia siku moja nikiweza.

Shedede ni mtani wangu sema tu alinichanganya alipoanza ishu za uchawi. Husna ni shemeji for life japo naye kwa sasa anasumbuliwa na binamu (ambaye according to Lee ndiye anastahili kuitwa mzee wa totoz). Hata status ya ushemeji wangu haijulikani tena! Nimeachwa tu nipo nipo...
 
Ipo wapi SHIMBA YA ANGAZA?
Ile Musukuma ya Koromoje imeadimika sana
Oyaa jomba kuja hapa na mtani wako Shedere mutu ya ng'ombe

.......
Nipo kamanda. Nawasoma nawasoma. Couplez za humu zinasemaje?

Aganza ana mtaji wa watu hatongozeki kwa sasa. Eti penzi litamkolea ateketeze mtaji. Shimba ya Buyenze daima...
 
Baadhi ya topic za baolojia ziangaliwe tena, na kufanyiwa marekebisho.

Alafu hao naona kama walikua wanashoot movie vile
Hivi hii biologia kweli,ni kukosa hofu ya Mungu na kujisahau..kuna siku mkuu Bitoz alielezea jambo kuwa waangalifu sana na vitu vinavyopostiwa(kupiga picha na kupost)kumbukumbu inabaki milele hawa vijana hata kama wanaigiza si kwa umbali huu,
HOSEA 4

6.Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa;kwakuwa wewe umeyakataa maarifa,mimi nami nitakukataa wewe ,usiwe kuhani kwangu mimi;kwakuwa umeisahau sheria ya Mungu wako mimi
nami nitawasahau watoto wako

7.Kadri walivyzidishwa ,na kadri hiyohiyo walinitenda dhambi;nami nitageuza utukufu wao kuwa AIBU.

8.Hujilisha dhambi ya watu wangu,hujifurahisha moyo kwa uovu wao

9.Hata itakuwa kama walivyo watu ndivyo atakavyokua kuhani,nami nitawaadhibu kwa ajili ya njia zao,na kuwalipa kwa matendo yao.

10.Nao watakula lakini hawatashiba,watafanya zinaa lakini hawataongezeka,kwa sababu wameacha kumwangalia BWANA.

11.Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fhamu za wanadamu

Hofu ya MUNGU NI TIBA TUWASAIDIE WATOTO VIJANA KUMJUA MUNGU KUMPENDA KUMHESHIMU ITAWASAIDIA KUEPUSHA KUIGA MAMBO YASIYO FAA

METHALI 22

6.Mlee mtoto katika njia impasayov,Naye hataicha mpaka atakapokuwa mzee

Tumuombe Mungu atusaidie na awasaidie watoto wetu,wadogo zetu,vijana wafuate njia ya Mungu na wajue kusudi l Mungu kuwaleta duniani

Shalom
 
Nani alaumiwe kwa hâya ?
Hawa ndiyo wanafunzi tunaowafundisha huko shuleni
eb173ed6cedea68faab356fe2f1b8934.jpg
Kwa sasa wa kulaumiwa ni mitandao. Wewe mzazi hata ujitahidi vipi, mtoto atayaona haya mambo na mabaya zaidi mtandaoni. Porn na uchafu wa kila aina ndiyo hasa unaendesha internet.

Kama alivyogusia mama Mchungaji hapo juu njia pekee ni kuwajengea hofu ya Mungu. Wakimpenda Mungu na kujitambua wao ni nani katika mwili wa Kristo watajiheshimu na hata wakishambuliwa watashinda. Wazazi mna kazi ngumu mno na wenye watoto boarding school muwe macho na muwe karibu sana na vijana wenu. Upo mtindo sasa wavulana wanaingiliana sana kimwili huko mabwenini kwa sababu ndicho wanachokiona huko mitandaoni na kwenye TV. Hata kwa heterosexual relationships kuingiliana kinyume ndiyo "usasa" na yote hii ni katika kujenga ukaribu na hatimaye kuhalalisha tendo hilo hata kwa watu wa jinsia moja.

Hali ni mbaya. Rafiki yangu ana shule yake ya boarding inayoheshimika sana lakini hizi ndizo kesi anazopambana nazo. Tusali bila kukoma!
 
Mungu atusaidie tufunge,tuombee watoto wote,wadogo zetu,ndugu zetu hakika halibni mbaya sana watoto wakimjua Mungu na wakiwa na hofu ya Mungu Mungu atawaepusha na mengi..it works
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom