Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109][emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109][emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kazi vp mkuuUpo kijana za kuadimika
Mke wa mtu ujueShunie nakukubali Sanaa.. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji38][emoji38]
Ziko vizur mkuu habari za kupambana na njaa ya mfukonKazi vp mkuu
Haaa!! Mkuu.. Cyo hvyoo ulivyofikiri...Mke wa mtu ujue
Ushindi upooZiko vizur mkuu habari za kupambana na njaa ya mfukon
Pamoja mkuuUshindi upoo
Njema asanteAsante mama,hbr ya uzima
Njema za uzima? UbarikiweHabari zenu wakuu niliwakumbaka aisee....
Marahaba mpendwa wangu za uzima[emoji7] [emoji7]Shikamoo mama Mchungaji
[emoji7] [emoji7] [emoji7]Nimeamshwa salama Mama yangu ubarikiwe na wewe
Tununu kaka Kyala alipoIndimkafu ulwa libwe utwa uko
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Jimena kaja nenda naye disco mruke majoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
[emoji253] [emoji253] [emoji8][emoji7] [emoji7] [emoji7]
[emoji120] [emoji120][emoji524] ZABURI 116
12.Nimrudishie BWANA nini kwa ukarimu wake wote alionitendea ?
13.Nitakipokea kikombe cha wokovu:Na kulitangaza jina la BWANA.
[emoji523] BABA Asante kwa mchana wa leo asante kwa ukarimu wako,sina cha kukurudishia zaidi ya kukusifu,kukushukuru,kukutukuza na kukuheshimu nawaombea wagonjwa,wenye changamoto mbalimbali wasafiri waangalie kwa wema wako BABA na kuwapa haja za mioyo yakila mmoja Asante BABA kwa wote mahali hapa MAKAPUKU USIWAPUNGUKIE,Waguse ,waponye,wape faraja na matumaini mapya,naomba yote katika jina la Yesu Kristo mpatanishi na mwokozi wetu.Amen
MCHANA MWEMA WAPENDWA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Asante mkuuShunie nakukubali Sanaa.. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji38][emoji38]
na ibra mke mweeNa nani tena mke mweeee