Makapuku Forum

Makapuku Forum

MTOTO ALIYEZALIWA NDANI YA NDEGE APATA SHAVU LA KUSAFIRI BURE ANGANI MAISHA YAKE YOTE

8a06a43d707dc03f121608c4e85c24d7.jpg

Shirika moja la ndege la kibinafsi nchini India limemtuku safari za bure mtoto aliyezali ndani ya moja ya ndege zake, iliyokuwa safarini kutoka Saudi Arabia kuelekea nchini India.

Mhudumu mmoja wa ndege, ambaye alikuwa amepata mafunzo ya uuguzi alimsaidia mama kujifungua mtoto umbali ya futi 35,000 angani.

Mama na mtoto wake walipelekwa hospitalini baada ya ndege ya Boeng 737 kutua katika mji wa magharibi wa Mumbai.

Shirika hilo liliiambia BBC kuwa mama na mtoto wake walikuwa katika afya nzuri.

Kampuni iliwashukuru wahudumu kwa kumsadia mama kujifungua salama.

Shirika hilo lililisema kuwa ndiyo mara ya kwanza mtoto kuzaliwa kwenye ndege yake.

Lakini mashirika kadhaa yamekumbanana hali kama hiyo. Wahudumua wa shirika la ndege la uturuki wallisherehekea kuzaliwa kwa mtoto msichana ndani ya ndege mwezi Aprili mwaka huu.
Ni jambo jema kuwa mama na mtoto wako salama ila ni hatari kwa usalama wa afya zao. Nadhani kuna kikomo cha safari kwa wajawazito au sheria zinatofautiana kutoka taifa moja hadi jingine?
 
CHANJO YA MAGONJWA YA MOYO YAVUMBULIWA

Shirika la utafiti wa kisayansi kutoka nchini Netherlands limeanza kufanya majaribio kwa wanadamu ya chanjo ya kupunguza kiwango cha mafuta katika mwili wa mwanaadamu na kwamba endapo utafiti huo utafanikiwa; wana matumaini kuwa chanjo hiyo itakuwa na uwezo wa kuzuia magonjwa ya moyo.

Watafiti hao wameeleza kuwa majaribio yao waliyokwisha kuyafanya dhidi ya panya yanaonesha kwamba chanjo hiyo imefanikiwa kuzuia na kuacha kuimarisha amana ya mafuta katika mishipa ya damu.

Imearifiwa kuwa chanjo hiyo ina uwezo wa kufanya mfumo wa kinga ya mwili kukabiliana na mafuta yasiyohitajika kutoka katika damu.

6774c3786b559ccb08a73fa101cc2f7c.jpg

Wanasayansi hao wanaamini kuwa chanjo hiyo inaweza kutumika kama njia mbadala wa zilizokuwa za kupunguza mafuta , pamoja na kuwasaidia, mamilioni ya watu ulimwenguni kupambana na mafuta yasiyohitajika mwilini.

Inatarajiwa kuchukua takriban miaka sita ili vipimo hivyo kukamilika.

ba21d407965b4f8f2948e94887d0bad6.jpg
Wabongo wao wanataka hata leo iwe tayari
 
MTOTO ALIYEZALIWA NDANI YA NDEGE APATA SHAVU LA KUSAFIRI BURE ANGANI MAISHA YAKE YOTE

8a06a43d707dc03f121608c4e85c24d7.jpg

Shirika moja la ndege la kibinafsi nchini India limemtuku safari za bure mtoto aliyezali ndani ya moja ya ndege zake, iliyokuwa safarini kutoka Saudi Arabia kuelekea nchini India.

Mhudumu mmoja wa ndege, ambaye alikuwa amepata mafunzo ya uuguzi alimsaidia mama kujifungua mtoto umbali ya futi 35,000 angani.

Mama na mtoto wake walipelekwa hospitalini baada ya ndege ya Boeng 737 kutua katika mji wa magharibi wa Mumbai.

Shirika hilo liliiambia BBC kuwa mama na mtoto wake walikuwa katika afya nzuri.

Kampuni iliwashukuru wahudumu kwa kumsadia mama kujifungua salama.

Shirika hilo lililisema kuwa ndiyo mara ya kwanza mtoto kuzaliwa kwenye ndege yake.

Lakini mashirika kadhaa yamekumbanana hali kama hiyo. Wahudumua wa shirika la ndege la uturuki wallisherehekea kuzaliwa kwa mtoto msichana ndani ya ndege mwezi Aprili mwaka huu.
Raha ya kuzaliwa kipindi cha mwezi mkubwa ndio hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom