Makapuku Forum

Makapuku Forum

fc9aa7c17b089f2e4a123a7a6ead54f5.jpg

Labda ubwabwa wa plastiki
.....
huu ni original banaa
 
Sema madenge. Nina kisa cha kweli cha kusikitisha na kufundisha kuhusu hawa mademu wa mitandaoni. Nitakisimulia siku moja nikiweza.

Shedede ni mtani wangu sema tu alinichanganya alipoanza ishu za uchawi. Husna ni shemeji for life japo naye kwa sasa anasumbuliwa na binamu (ambaye according to Lee ndiye anastahili kuitwa mzee wa totoz). Hata status ya ushemeji wangu haijulikani tena! Nimeachwa tu nipo nipo...
Shemeji buana usiseme hivyo mi bado shemeji yako tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom