Makapuku Forum

Makapuku Forum

*Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema "mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani" nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sasa bado nimekaa hapa seblen[emoji41][emoji41] nahisi bado wanaihangaikia Visa yangu*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Leo Katika Historia:

- Ni siku ya Kimataifa ya Wakimbizi.
9b725f4fc979d764c5fef8f1cee57353.jpg
f9b04e1b746707093db31282b357fe06.jpg

Vita huletwa na wana siasa
Vita nyingi duniani zina mkono wa Wazungu km kwenye Blood diamonds Waafrika wanachonganishwa kisha wanauziwa silaha halafu wanauana zen mzungu anajibebea tu almasi maana plan ya kiMangingo imefeli
 
1978 -Frank Lampard anazaliwa.

Kiungo wa kati wa zamani wa West Ham, Chelsea na timu ya taifa ya England.

Mmoja kati ya viungo bora wa Kiingereza kwa miaka 15 iliyopita.

Kombinesheni yake na Steven Gerrard kwenye timu ya taifa haikuwahi kuwa na mafanikio.
 
Back
Top Bottom