Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki Maalum: Jumapili ya Baba

Wikend siandiki sana maana ni siku ya kukaa na familia, kutafakari na kumshukuru Mungu kwa yote ya wiki jana na kuomba zaidi wiki mpya. Ndicho nachofanya na leo ni siku maalum kabisa ya kumtafakari Baba, yes, father's day kwa kimombo.

Haina umaarufu sana kwetu maana sisi Baba ni baba na anakuwa nawe muda wote unapokuwa akihakikisha unalala sehemu sahihi, unapata nafasi ya kusoma unapotoka shule, na zaidi anakufundishi kuyakabili maisha kama mtoto unayehitajika na familia na taifa kwa ujumla.

Mtoto kutokujua kusoma sio kosa la baba, ila mtoto asipojua kusoma kwa sababu baba hajanunua mafuta ya taa au karabai au kulipia bili ya umeme basi hilo ni kosa la baba na tutamlaumu.

Najua kabisa humu Makapuku tupo ma-Baba tunaojitambua na kutimiza majukumu yetu, tunafanya kazi kuhakikisha wale tunaoishi nao wanakuwa na angalau furaha kila wakituona.

Ni kazi ngumu kumuelezea baba, maana yeye haitaji maneno mengi kumueleza na si mtu wa compliments kama mama😀, baba anaweza kukupa hela na usimwambie asante ila moyoni anajua umeshukuru kikamilifu. Mama atakusaidia kujua kusoma na Baba atakununulia madaftari na vitabu.

Na zaidi baba ni mtu makini kwa sababu kanichagulia mama bora kabisa.

Tumwangalie Luther Vandross gwiji la soul, mshindiwa tuzo nane za Grammy akiimba kuhusu Baba.

Happy Father's Day Makapuku wenzangu

Asante kwa music kiongozi
 
Thanks Jorowe
 
IMG-20170618-WA0032.jpg
Usiku mwema na Mungu awalinde
 
Salaam Team,

Natumai mu-wazima.

Kuna jambo ambalo limenishangaza kidogo, ambalo ningeomba ku-share nanyi.

Kuna hii thread Dada, uliza lolote la msingi kuhusu sisi wanaume, nitakujibu

Baada ya kuona kumekidhiri nyuzi za wadada/wanawake wengi wakiuliza maswali kuhusu sisi wanaume, maswali ambayo majibu waliyoyapata hayakujitosheleza

Hivyo, Mimi kama mwanaume, nikajitolea kuwapa fursa wanawake/wadada waniulize maswali nami ningewajibu nikiamini kwamba, majibu yangu yatawakilisha Wanaume.

Na kwenye majibu yangu nilijikita zaidi kufafanua tofaUti iliyopo kati ya sisi "Wanaume" na wavulana.

Kuna pahali nikakejeliwa, mmoja alikisema "hakufungua hata huo uzi, baada ya kuona kama una maudhui ya makapuku forums.

Nikajiuliza, kwani kuna shida gani lwenye nyuzi za makapuku forums?

Sijawahi ona tatizo nimeanza kufuatilia makapuku forum kwa muda mrefu sana.

Jambo la pili ambalo limenishangaza, ni kulaumiwa kuwa sijajibu maswali ya watu, kitu ambacho naamini kuwa sio kweli.

Kama patakua na mwenye muda, naomba ajaribu kupitia huo uzi na aniambie wapi ambapo sijajibu swali la msingi.

Ama kipi kibaya nilichoongea.

Naamini kuwa, humu watu ni wamoja, na kupitia huo umoja na ndio maana leo makapuku ipo hapa.

Natanguliza shukrani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom