Makapuku Forum

Makapuku Forum

The rich can not live on an island surrounded by an ocean of poverty. We all breathe the same air. We must give everyone a chance.
Unaongelea nini mkuu?

Binadamu ni kiumbe mtata sana. Ndiyo maana tukipata watu kama akina Nyerere, Gandhi, Dalai Lama na wengineo wa aina hiyo inabidi tushukuru Mungu sana.

Binafsi sina shida na tajiri aliyetajirika kwa juhudi zake. Nina shida na hii mijizi mifisadi mila rushwa ya Afrika ambayo hata ubinadamu haina. Wewe unauza madini ya nchi nzima unatajirika kupindukia halafu hawa masikini uliowanyakulia madini yao hawana hata aspirin mahospitalini wala uhakika wa mlo japo mmoja kwa siku. Hivi siku moja hawa masikini wakivuvumka na kukufisha utalalamika?
 
6c882990c64ca9e42a0719a25a5d3656.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom