Shughuli za kibinadamu ikiwemo ukataji wa miti kiholela nchini Tanzania, wachangia uharibifu mkubwa wa mazingira.
Uchafu wakithiri nchini DRC, watu kumi na wanne wafa kwa ugonjwa wa kipindupindu
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aibuka na ushindi wa viti vingi katika bunge la nchi hiyo
Vyombo vya Usalama nchini Mali vinasema vimeokoa zaidi ya wageni thelathini kutoka katika kituo kimoja cha Utalii, kilichokuwa kikishambuliwa na watu waliokuwa na silaha.
Maofisa nchini Nigeria wamearifu kwamba nusu ya chakula cha msaada kilichokuwa kimepelekwa kwa watu waliosambaratishwa kutoka katika makaazi yao na kundi la wana mgambo wa kiislam hakijawafikia walengwa
Nchini Uganda kuna asasi inayotoa ushauri wa masuala ya kisheria bure kwa wananchi na ili kufanikisha zoezi hilo imekuwa ikitekeleza shughuli zake kupitia mitandao ya kijamii.
Ulaji wa samaki unaonekana kupungua maeneo ya pwani ya Kenya kutokana na gharama ya juu ya kitoweo hicho
Morning mkuuMorning Makapuku
Natumai umeamka salama salimini JorowePamoja sana mtaasisi.
Usiku mwema
Morning mkuuWakuu kumekucha swalamaaaaaa kabisaaa...Jambo jema
Wale wa simulizi alafu UF...
Aisee hadi raha
Kamwe usiyumbishwe kwa maneno ya wafitini wewe songa mbele na kile unachokiaminiSalaam Team,
Natumai mu-wazima.
Kuna jambo ambalo limenishangaza kidogo, ambalo ningeomba ku-share nanyi.
Kuna hii thread Dada, uliza lolote la msingi kuhusu sisi wanaume, nitakujibu
Baada ya kuona kumekidhiri nyuzi za wadada/wanawake wengi wakiuliza maswali kuhusu sisi wanaume, maswali ambayo majibu waliyoyapata hayakujitosheleza
Hivyo, Mimi kama mwanaume, nikajitolea kuwapa fursa wanawake/wadada waniulize maswali nami ningewajibu nikiamini kwamba, majibu yangu yatawakilisha Wanaume.
Na kwenye majibu yangu nilijikita zaidi kufafanua tofaUti iliyopo kati ya sisi "Wanaume" na wavulana.
Kuna pahali nikakejeliwa, mmoja alikisema "hakufungua hata huo uzi, baada ya kuona kama una maudhui ya makapuku forums.
Nikajiuliza, kwani kuna shida gani lwenye nyuzi za makapuku forums?
Sijawahi ona tatizo nimeanza kufuatilia makapuku forum kwa muda mrefu sana.
Jambo la pili ambalo limenishangaza, ni kulaumiwa kuwa sijajibu maswali ya watu, kitu ambacho naamini kuwa sio kweli.
Kama patakua na mwenye muda, naomba ajaribu kupitia huo uzi na aniambie wapi ambapo sijajibu swali la msingi.
Ama kipi kibaya nilichoongea.
Naamini kuwa, humu watu ni wamoja, na kupitia huo umoja na ndio maana leo makapuku ipo hapa.
Natanguliza shukrani
Mkuu ungepeleka kwenye jukwaa husikaCar From Japan Grand Giveaway 2017 Jishindie GARI mpya bure kabisa kutoka Japan, unachopaswa kufanya ni kujisajili bureee kabisa kwa kufuata hiyo link hapo JUU, hakuna malipo yoyote, share hiyo link ili upate point zaidi za kushinda
As usual katibu simulizi kwanzaWakuu kumekucha swalamaaaaaa kabisaaa...Jambo jema
Wale wa simulizi alafu UF...
Asante kwa hadithi, UF na BBC newsTuwe na siku njema wadau ...Mungu atuongozeee
DuhUF....![]()