Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Imefika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nyimbo ya mapacha watatu imfikie popote alipo
Imefika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nyimbo ya mapacha watatu imfikie popote alipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]...anayependa mambo ya ulozi, yupo mwajuma
Hakika atakuelewa kama alivyonielewa mimiBH hajawahi kunikubali, yaani namuimbishaga daily kama news. Hajawahi kunielewa sasa sina hakika kama Husna atanielewa, mind you, Husna yuko singoland sasa
mwambie binamu akuwekee mapacha wa3 ukuburudisheHapana! uhakika anao binamu yake shunie, make yeye ndo mwenye maamuzi asuke au anyoe.
[emoji120] [emoji120] nashukuruna me nakuombea utapata wa kufanana nae
Eeeh make alihapa kabisa "shedede nakupenda kwa shida na raha kwa kila gumu au jepesi utakalo pitia"
Nimemtishia mi mchawi amekimbia [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]
mwambie binamu akuwekee mapacha wa3 ukuburudishe
Kila la kheri mkuuha ahahaha, mimi hawezi kunichora kiganjani wakati moyo anao, akikubali atanichora na uji wa dhahabu sio makinikia. subiri tutakutaarifu.
Halafu, hana kawaida ya kugonganisha sema hapendi kuchezewa akili
Ni kiasi cha muda tu atasahauacha kabisa mke mwee ila akubaliane tu na hali maisha yaendelee
Atakuwa yupo studiomwambie binamu akuwekee mapacha wa3 ukuburudishe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we binamu si utulie na mkeo mtalajiwa huo uchonganishi vipi??...anayependa mambo ya ulozi, yupo mwajuma
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakuwa yupo studio
tunasubili baba dSimulizi soon ...
nishamjua binamu yangu pale ndio moyo wako ulipo we sababu si haunipendi unaongeaga mavitu yako mbona pale ungekaaa ila sababu ya ujeuri wako na kuniona mm wa nini endelea kulialia tu
ipo siku kweli binamu usikate tamaasio kosa langu, lazima tu anko wangu lee empire ana mkono wake kwenye hili suala. Huwa ananifanya naongea hata vitu sivielewi. Anyway, ipo siku tu
Binamu niwekee mwimbo wa josee mala khalid chokoraa na kalala junior (mapacha wa tatu) uwe dedicated kwa husnamwambie binamu akuwekee mapacha wa3 ukuburudishe
[emoji109] [emoji109]Nimemwekea wimbo wa Nico Zengekala unaitwa Solemba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bhna binamuNimemwekea wimbo wa Nico Zengekala unaitwa Solemba