Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wadau kama kawa week end inasonga

Ifuatayo ni picha/michoro yenye tafsiri fulani iliyojificha
Tusaidiane kufumbua
a86bfa9e2bdaafd0ce3ec17a943ebb9e.jpg
Duu
 
Nimeshapona tena vizuri kabisa. Usicheze na maneno ya wafitini waliyonitolea jana. Maneno yao yamekuwa tiba tosha kabisa. Haujambo
Bhinamu natambua uwepo wako .heshima kwako hope waendelea vizuri

Nafikiri jana umejionea yupi mtu mwema kwako ...sio kwa fitina zile ila tulizishindaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom