Makapuku Forum

Makapuku Forum

1982 - Mwili wa Mfanyakazi wa Benki toka nchini Italy, Roberto Calvi wakutwa ukining'inia katika daraja la Blackfriars.

Kuna utata mkubwa juu ya nani alihusika na mauaji hayo!
Mhasibu wa Mungu, nasikia aliondoka Italy bila kuaga na kwa hofu ya kuuwawa, akaenda Uingereza wakammaliza huko huko kwa kutengeneza ajali
 
Ongera sana kwa kumaliza chuo ila ushauri wangu unaweza kuufata au ukasoma ukapotezea

Vijana wengi mnamaliza chuo mkiwa na matumaini ya kuajiriwa moja kwa moja hasa kwenye professionals zenu ni jambo zuri na ni baya pia ...make kiakili hujipambanui na uhalisia wa maisha ...maisha ya chuo ni maisha mazuri ila ni maisha yanayodanganya wengi na pale mnapoagana kila mtu akaenda kivyake muhimu kwa sasa mtabaki kujuliana hali kwenye magroup yenu ya whatsapp ...

Yawezekana wewe uko interested sana na ulichokisomea bhasi fanya hivi kuna kitu muhimu siku hizi vijana mnakikwepa ila ni suluhisho ...KUJITOLEA KATIKA ENEO HUSIKA ...mfano nenda kituo unachopenda we omba kutolea ata usafi mle ndani na kusaidia saidia kazi ndogondogo utaona mwisho wake ...hapa usiwaze pesa kwanza

mimi mfano ninao hai kipindi najifunza umakanika enzi zile niliteseka ila mpaka sasa ni fundi mzuri usiulize fundi wa nini na nakumbuka mdogo wangu alitaka kufanya kazi saloon nikamshauri awe anashinda saloon na kukubali kutumwa na kufagia kwa sasa anamiliki barber shop kubwa mjini

Kupanga ni kichagua mkuu
mutu ya batoto barembo! kwenye ubora
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom