Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Huyu kwakweli historia aliyoweka ni kizazi hadi kizazi
Huyu kwakweli historia aliyoweka ni kizazi hadi kizazi
LolHamkeni![]()
Amkeni![]()
Bonge la ubunifu
Mmh hii nayo
Meli ilikabidhiwa.................Mmh hii nayo![]()
![]()
Kwamba wakazi wa mbagala watakuwa wanaenda bagamoyo kwa train??
Kwani ile meli iliishia wapi??
Hii tabia kweli ni mbaya
Movie inaendeleaMeli ilikabidhiwa.................
Sio vizuri, mimi huwa nawashangaa hata wanachukuaga video wakati wa mazishi, sijui huwa niya nini aiseeHii tabia kweli ni mbaya
Kwanza hakuna mtu anayependa kufa ila kufa ni lazima
Kupost post tu maiti ovyo ni upuuzi
Kuna rafiki yangu mwislamu alinishangaza kwa kupost picha FB akiwa kaka juu ya kaburi la mama yake akiwa na demu wake
Waislamu wenzie walimjia juu kwamba ni kinyume na maandiko na maadili ila jamaa likamwaga povu hatari na kusema ni maisha yake binafsi na wakimfuatafuata atawaBLOCK
.
.
.
.
.
.
Ahsante kwa magazeti mdau
Jumapili Njema
.......
Nasikia haukupona panga LA vyeti feki ndio maana unajifichaficha na kuingia kwa kuviziaMovie inaendelea
Huyo ndo Husna

Mdau tatizo la ukosefu wa ajira ni kubwaJamani habari za asubuhi,,, MSAADA jamani maisha mgumu baada ya kumaliza CHUO cha nursing. Nikaa tu cjaajiliwa ujuzi wangu utapotea nisaidieni. Nafasi ya ajira jamani hata ya kuuza duka LA madawa au kituo cha Afya ,,cha serikari au binafsi..... Kwa mawasiliano nicheki APA ..nipo tayari mda wowote.
Hii nyimbo imenifanya nipate daku huku nina hisia kali let's think twice how special we're hatujafa hatujambika, kuna watu wanahitaji msaada wetu sio lazima iwe kiasi cha pesa ila upendo wetu kwao na kuwajali ni furaha yao.
Ahsante mtaasisi kwa kuweka wimbo mzuri baadae tukutane kwenye ile mada juu ya wanafunzi wanaopata mimba shuleni.
Tchaoo.
Asante kwa magazeti mkuu Shululu ubarikiweAsante nawe pia siku njema
ShukuraniTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA
Jamani habari za asubuhi,,, MSAADA jamani maisha mgumu baada ya kumaliza CHUO cha nursing. Nikaa tu cjaajiliwa ujuzi wangu utapotea nisaidieni. Nafasi ya ajira jamani hata ya kuuza duka LA madawa au kituo cha Afya ,,cha serikari au binafsi..... Kwa mawasiliano nicheki APA ..nipo tayari mda wowote.
Asante mama mchungaji kwa kuyapitiaAsante kwa magazeti mkuu Shululu ubarikiwe
Huyo ndo Husna
Ukizoeana nae anakuchukulia mume na hakurudishii tena
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.....
afu wewee madengee ntakuchapaaaUlishaponaga ee?!Great! Maoni muhimu kabisa kusomwa asubuhi hii. Baadaye kidogo mtaasisi