Makapuku Forum

Makapuku Forum

25953a9e07ebc85601c98ecad0181573.jpg
Sure
 
Jana ndio nimeshuhudia madhara ya vyeti feki,Muhimbili hospitali hakuna wauguzi wala wahudumu wa kutosha wodi zimejaa kiasi kwamba hao wahudumu waliopo wamezidiwa.
Chondechonde serikali wagonjwa wanakosa huduma na kupelekea kupoteza maisha,suluhisho la haraka linatakiwa.
Hali mbaya sana nimekuwa ninamgonjwa hapo mpaka nami niliugua,sifahamu wana mpango gani ni manesi na madaktari wamepungua mno siwezi shauri kukimbilia private maana hata mimi mgonjwa wangu alipata rufaa toka private tulikokimbilia huduma bora kuja Muhimbili bora hata tungewahi mapema...Tumuombe Mungu atengeneze njia watu wenye vyeti vyao basi wapelekwe hapo
 
Unaujua msamiati mpya katika dunia ya ajira unaoitwa 'kujitolea' /volunteer (au wengine huita internship) . Hapo ulipo una nafasi ya kwenda kwenye ofisi yoyote ya mambo ya afya (duka, zahanati, hospitali nk) onana na mkuu wake umweleze unahitaji kujitolea kufanya kazi. Usiseme unahitaji kulipwa hasa kwa kuwa unalalamika hujapata ajira (ajira=ujira)
ushauri mzuri huu akiufanyia kazi mapema atafanikiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom