Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unaujua msamiati mpya katika dunia ya ajira unaoitwa 'kujitolea' /volunteer (au wengine huita internship) . Hapo ulipo una nafasi ya kwenda kwenye ofisi yoyote ya mambo ya afya (duka, zahanati, hospitali nk) onana na mkuu wake umweleze unahitaji kujitolea kufanya kazi. Usiseme unahitaji kulipwa hasa kwa kuwa unalalamika hujapata ajira (ajira=ujira)
Msamiati wa kujitolea kwa wengi sasa hv ni mgumu kwakuwa wengi hawakujengewa uwezo,maana yake unapoenda unakua tayari kufanya kazi utakazoelekezwa na mwajiri na kufuata taratibu na sheria za mahali hapo bila kupepesa macho ,kufika muda uliopangiwa,kukaa kazini muda uliopangiwa na kufanya kazi ulizopangiwa kuna baadhi ya ofisi nyingine zina sera ya kujitolea angalau zina unafuu..ni muhimu kabla ya kwenda kujitolea kutafakari na kujiandaa na mazingira yoyote utakayoyakuta....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom