Nasikia umemwagwa km gunia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
afu wewee madengee ntakuchapaaa
BTW now nimeamua kuwa single
Nawe pia mkuu madenge![]()
.
.
.
.
Niwatakie J2 Njema yenye baraka
......
Duuu sizonjeeee uko waaaapi sizonjeee .....sizonjee nakutafuuta....Jana ndio nimeshuhudia madhara ya vyeti feki,Muhimbili hospitali hakuna wauguzi wala wahudumu wa kutosha wodi zimejaa kiasi kwamba hao wahudumu waliopo wamezidiwa.
Chondechonde serikali wagonjwa wanakosa huduma na kupelekea kupoteza maisha,suluhisho la haraka linatakiwa.
HakikaManeno kuntu ya Jumapili![]()
Itafika tu
Well said
Ni kweli kabisaaa