Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
AsanteeEnd![]()
.......
AsanteeEnd![]()
.......
WARUMI 8
31 Basi tuseme nini juu ya hayo MUNGU akiwa upande wetu ni nani atakuwa juu yetu?
32 Yeye asiyemwachilia Mwana wake mwenyewe bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote. Atakosaje kutukirimia mambo yote pamoja naye
33 Ni nani atakayewashitaki wateule wa MUNGU? MUNGU ndiye mwenye kuwahesabia haki
34 Ni nani. atakaye wahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa naam; na zaidi ya hayo amefufuka katika wafu yuko mkono wa kuume wa MUNGU tena ndiye anayetuombea
35Ni nani atakaye tutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga?
36 Kama ilivyoandikwa, ya kwamba, kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa, na tumehesabiwa kuwa kama kondoo wa kuchinjwa
37 Lakini katika mambo yote hayo tunashinda, zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda
38 Wala yaliyo juu wala yaliyo chini wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenganisha na upendo wa MUNGU Ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu
MUNGU ANATUPENDA SANA NDIO MAANA TUPO MPAKA MUDA HUU HAKUNA CHA KUTUTENGANISHA NAE TUKAZE MWENDO TUMSHUKURU TUMPENDE ANATUPA KUSHINDA
KILA WAKATI. MBARIKIWE MCHANA MWEMA
![]()
![]()


Kweli...Kweli?
Get back my love..Ndio mamy
Alipo T yupo Sakayo...
Kumbeeeee!Shimba ya aganza
Niko safarini. Ndiyo maana hata hapa nasuasua. Niko mahali fulani hivi naosha tongotongo za Koromije. Mashikolomageni!Ww mdau ni mwehu
![]()
![]()
![]()
Vipi utatimiza ahadi yako ya falsafa au ....
.......
Wanafanya kisiriii si unajua bwana shimba alikuwa shemuKumbeeeee!
I was not aware! Another couple in town
Ila sio zote...!
Mmmmh na leo changalamachooNiko safarini. Ndiyo maana hata hapa nasuasua. Niko mahali fulani hivi naosha tongotongo za Koromije. Mashikolomageni!
Nahisi hii inawahusu sana FWC
Siyo kweli na haitakaa itokee. Ni uzushi tu wa pedeshee muzee ya totoz huu. Mapenzi na ndoa hizi za mtandaoni 24/7 kujianika ka malimbukeni fulani hivi wengine hatuziwezi.Kumbeeeee!
I was not aware! Another couple in town
Haina kwereNiko safarini. Ndiyo maana hata hapa nasuasua. Niko mahali fulani hivi naosha tongotongo za Koromije. Mashikolomageni!
Siyo kweli na haitakaa itokee. Ni uzushi tu wa pedeshee muzee ya totoz huu. Mapenzi na ndoa hizi za mtandaoni 24/7 kujianika ka malimbukeni fulani hivi wengine hatuziwezi.
Nisaidie kama unaweza mkuu. Hii siyo UF eti unachukua picha na kuposti. Nina mavitabu manne hapa ya reference na maneno mengi kwa Kiswahili hayapo. Nitatimiza ahadi yangu na actually nafikiria pengine niandae post kama 5 ziwe ready kwanza ndo tuende sawa. Isitoshe sina uhakika kama zitapata wasomaji makini hapa ambapo tumezoea kutaniana tu...Mmmmh na leo changalamachoo
Kasimu kangu kimeoBitoz..
Jaribu hii alafu utupe mrejesho..![]()
Nahisi hii inawahusu sana FWC
Sawa mdauDaah!
Nakumbuka hii wakati nafanya Dissertation yangu..
Haya shemelapicha atatumiwa na Baba D