Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Hakuna ubaya...!Kuna ubaya kwani
Hakuna ubaya...!Kuna ubaya kwani
sawa chukuaneni na we si uniite me wangu tatizo niniWanguu...
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]mama tumekusamehe we ni mama yetu hata ukikosea nini wajibu wetu ni kukusamehe kuwa na Amani mama yangu
sasa hapo kuna shida ganiUwe na heshima kwa dada yako basi
Ngoja nikavae msuli... [emoji3][emoji3]Kwa heri T
Nakuja...Kwaito ya nani
Jwaaaamaaaaaniiiimimi Baba D nimekuhamu sana mpaka nakufwa
Nipo mm[emoji39]
Wacha stori...yaan humu ukiwa serious unaweza kufwa siku si zako jamaan mtu humjui hujui yupo vipiiii
Miss you more unatuacha sana kipenzi[emoji7] [emoji7]Ameeen
Miss wewe mingi
Asante mtumishi..Namuombea sana na wote nawaombea tuko kwenye ulimwengu ambao unahitaji maombi sana Mungu atusaidie kuondoa vifungo vya magonjwa umaskini ajali uchawi chuki mafarakano upweke kukosa kazi kukosa uzazi kukosa wenza na mengi ambayo hayaelezeki publicly tuombeane[emoji120]
Eeeehh ule uzi wa vibonge ulikuwa kapuku kwani?me na lee wangu ni kapuku hatunaga mambo hayo
[emoji3][emoji3]
Kausha basiii...Weee nakuonaaa
MmmmhNa huyo akisikia Cheusi anang'aka
[emoji1] [emoji1] [emoji1]mama yangu akitajwa mukongo unafurahii mpaka mwisho [emoji134] [emoji134]
Hiii si kumsalimiaaBaba D anamuita Sakayo wangu...
Hata mimi nataka niwe pm na shem shunieSi shem wangu
[emoji120] [emoji120] [emoji120]tumekusamehe mama kuwa na amani
Muulizeesasa shida ni ninii