Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Si shem wanguShunie unaona eeh?
Cc: shunie
Si shem wanguShunie unaona eeh?
Cc: shunie
ndiwooooSi shem wangu
Nawaona nawaona....mimi Baba D nimekuhamu sana mpaka nakufwa
Ameeen mamy, naomba niwe wa kwanza kwenye hayo maombiNamuombea sana na wote nawaombea tuko kwenye ulimwengu ambao unahitaji maombi sana Mungu atusaidie kuondoa vifungo vya magonjwa umaskini ajali uchawi chuki mafarakano upweke kukosa kazi kukosa uzazi kukosa wenza na mengi ambayo hayaelezeki publicly tuombeane![]()
AiseeehMwanaume habembelezwagi mkuu..
Unataka nikubembeleze sasa?
Na huyo akisikia Cheusi anang'akaNdo hivyo tena shem darling
Huwa nina presha
Namuombea sana na wote nawaombea tuko kwenye ulimwengu ambao unahitaji maombi sana Mungu atusaidie kuondoa vifungo vya magonjwa umaskini ajali uchawi chuki mafarakano upweke kukosa kazi kukosa uzazi kukosa wenza na mengi ambayo hayaelezeki publicly tuombeane![]()

ila weweNawaona nawaona....
D ndio sababu ya haya yote
Kufyonzaa sasaKatupa simu chini sofa eeti ..![]()
D mkubwa hivyo ndio unakesha nae usiku?sio yule kwahiyo yule ni nani
huyo naniiiiiiNa huyo akisikia Cheusi anang'aka
vipii tena
Wanguu...sasa shida ni ninii
Mm niko poaa kiukweliiNiko Poa shem darling, vipi wewe
sio mkubwa ana miaka miwili tuD mkubwa hivyo ndio unakesha nae usiku?
Tunasepa na KijijiHongera kwa 216K
Uwe na heshima kwa dada yako basikwaito ya kwa bed![]()
![]()
MmmmmhSio yule mkuu..
Uncel D anakiduku kwani?