Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Hahaaa...ila wewe
Hahaaa...ila wewe
NashangaaaKuna ubaya kwani
Wanguusawa chukuaneni na we si uniite me wangu tatizo nini
Kwaito ya kitandani unaijua wewe!sasa hapo kuna shida gani
[emoji122] [emoji122] [emoji122]me na lee wangu ni kapuku hatunaga mambo hayo
Mfanyakazi shambahuyo naniiiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23]woiiiiiiii binamu unapona leo
MpmHata mimi nataka niwe pm na shem shunie
Marahaba mwanangu mimu mzima namshukuru Mungu sanashikamoo mama mchuchu umeamkaje mama yake shunie
Hahahasawa chukuaneni na we si uniite me wangu tatizo nini
Hajanipaaa mauaMarahaba mwanangu mimu mzima namshukuru Mungu sana
Nimekuhamu tuuMm niko poaa kiukwelii
Ila sijamuelewaa nielewesheeHahaha
Nimejikuta nacheka tuu
Mimi thathaaa mpaka nakufwaaaaa[emoji7]Nimekuhamu tuu
Na msirudi mpaka huu mwezi uisheWacha stori...
Nipm basi....nina dakik 5 tuu from now nitakuwa offline
Asante kwa historia mkuu Mussolin5 asante kwa picha mkuu Bitoz Mbarikiwe[emoji120]Leo Katika Historia:
Niwatakie wikiend njema.
asirudi labda T me nipogo kama kawaidaNa msirudi mpaka huu mwezi uishe
Nipo mpenzi, nashinda siasani huko nasikia kuna Noah yanguMiss you more unatuacha sana kipenzi[emoji7] [emoji7]
jichekee tu maisha mafupi haya sasa ye anakasirika nyie kuitana wangu si aniite mimiHahaha
Nimejikuta nacheka tuu
Cheki majibu ninayopewa niki pm