Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,366
Chuga kwemaNzuri kabisa za chuga
Chuga kwemaNzuri kabisa za chuga
Na vile unapendaga kula kucha sasa?Kweli vile
Mie bora nilale
Hahaa..Watanyongana
Cha ajabu alikuja kuaminiwa alikua tranporter gari zake zikawa zinakodiwa mpaka na BOT.Mbeya kulikuwa na jambazi maarufu enzi hizo aliitwa Jombi jamaa alikuwa anaenda hadi Sauzi kuiba
......
Mzee kwa hiyo Costa yupo sokoniNzuriiii
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwanaume habembelezwagi mkuu..
Unataka nikubembeleze sasa?
Mzee wa Vent?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Endelea kuwepo tuKweli vile
Mie bora nilale
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hujaquote
emmyguy za wewe unajua nipo makini sana na jina lako jaman naogopa nisije nikakosea kiduchu tuHabari ya siku kaka!?
mimi Baba D nimekuhamu sana mpaka nakufwaMama D nakumis
NimeonaKeshapata bhana
jaman haturudii makosa tenaHujaquote
nimeona aisee nimepita kimyakimyaUko jukwaa la malalamiko, ni wa leo huo
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Nishampa link mkuu
na mimi nataka kuwonwaaaMmmmmh
[emoji39]Watu na fanta zao
Asante[emoji120]Tushakusameheee
Mazoea tuCha ajabu alikuja kuaminiwa alikua tranporter gari zake zikawa zinakodiwa mpaka na BOT.
Kosa kubwa alilofanya ni kuwavamia ma expatriate pale Mbeya na kuwafanyia mambo mabaya sana kwakweli Serikali haikuweza mvumilia tena mambo ya aibu sana sijui ilikua ni masharti ya madawa au mazoea tu