Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Pamoja wakuu...Wakuu niwatakie usiku mwema
Nawatakieni wote usiku mwema na Mungu awalinde
Pamoja wakuu...Wakuu niwatakie usiku mwema
Nawatakieni wote usiku mwema na Mungu awalinde
Upo Chuga?Niko safarini mkuu. Ndiyo maana hata hapa unaona nasuasua. Tuko pamoja...
Juzi na janaZa leo au jana ??
Nafikiri Jpili ndio nitatulia naonekana usiku tu kama popoMwekahazina wkend hii
Mkuu kwema?Nafikiri Jpili ndio nitatulia naonekana usiku tu kama popo
Please usiurarue moyo vipande kama wale wayahudi walivyolirarua vazi la Yesu baada ya kumsulubishaKashatekwaa
Akili yao wanaijua wao
Tuko pamojaAsante mkuu nimekaribia
Dah kuna vitu vingine huwezi fikiria
Sawa mamaYa BABA
AiseeKuna kitengo cha NASA ambacho kazi yake ni kusikiliza sauti ya jua na kuangalia kwa umakini activities zote na hasa miripuko ya solar flares. Kama zikiripuka kwa wingi na makalikyulesheni yao yakaonyesha kuwa solar wind inaweza kuzisafirisha mpaka huku duniani na zina nguvu kiasi kwamba magnetic field ya dunia inaweza kuelemewa, basi wanajiandaa kuzima sattelites zao za kijeshi na ikiwezekana hata mfumo wa umeme (electric grid) ili kuzuia usikaangwe na na hizo solar flares.
Wanasema kajua ketu haka ndo sasa kameingia ujana na baada ya miaka bilioni 4 hivi ijayo katafikia uzee na kataishiwa na mafuta yake (Hydrogen na Helium). Kama Yesu Atakuwa bado hajarudi basi ndo utakuwa mwisho wa dunia na visayari vilivyo karibu karibu hapo. Hellish ending!
Amen shululu wa TumosaNawatakieni wote usiku mwema na Mungu awalinde
Na kwako pia KamandaWakuu niwatakie usiku mwema
Nakuona bado upo doriaNaona mkuu
Mmelala woote
Kwema kiongozi lete manenoMkuu kwema?