Makapuku Forum

Makapuku Forum

Namba 02 ..

Okwi huyu karudi simba @EmmanuelOkwi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hanspoppe baada ya kusaini kuitumikia Simba miaka 2...

e1dfbc164925b9401776dca401c52181.jpg
Timu zinasajili vikongwe tu
 
Namba 10...

Aliyewahi kuwa Kansela wa Ujerumani, Helmut Kohl amefariki dunia akiwa na miaka 87, aliongoza nchi hiyo kati ya mwaka 1982-1998. ...
8488ae812ab0798f7cb1fc1f0fb3de7a.jpg
Helmut Kohl ;

He was the father of Germany Reunification and the Architect of Eurupean integration..

Huyu jamaa ni mmoja wa watu walioshawishi uwepo wa aina moja ya fedha kwa nchi za ulaya. £(Euro)

4cecbb051c7f3f9b308b0ebf2867e17b.jpg
Kohl akiwa na Bill Clinton wa marekani.

65fdc1e11f1b93d9f6e872d444759e68.jpg
Kohl akiwa moja ya kwenye mikutano ya European Union.

Amestaafu mwambo ya kisiasa toka mwaka 2002..

Rest in peace Kohl.
 
Helmut Kohl ;

He was the father of Germany Reunification and the Architect of Eurupean integration..

Huyu jamaa ni mmoja wa watu walioshawishi uwepo wa aina moja ya fedha kwa nchi za ulaya. £(Euro)

4cecbb051c7f3f9b308b0ebf2867e17b.jpg
Kohl akiwa na Bill Clinton wa marekani.

65fdc1e11f1b93d9f6e872d444759e68.jpg
Kohl akiwa moja ya kwenye mikutano ya European Union.

Amestaafu mwambo ya kisiasa toka mwaka 2002..

Rest in peace Kohl.
Umsikie Umirahel akitaja hilo jina hadi raha
 
Maisha ya ule UZi ni mafupi zaidi ya Umeme wa LUKU

Haaaaahaaaa mkuu umeua, ni kweli sema hapa wengi hawajui
Nyie jamaa mmenifanya nicheke
KF ilianza maalumu kwa ajili ya story ila ghafla ikageuka movement na watu kujazana siku ya kwanza tu replies lilikuwa 10+ kisha akaanza kusepa mmojammoja maana wengine walikuwa kinafiki na zugazuga tu pengine kufuata like za washambawashamba wachache
Baada ya hapo yaani km mwezi mmoja hivi tukaigeuza thread ya kijanja kwa kuanzisha segment hapo ndo pekee palipoiokoa thread kufa au pengine kupoteza mvuto
Now KF ni km Chitchat ya wenye Phd kiasi cha kuwavutia karibu wanaJF wote kuifuatilia (subscribe) na kujifunza mambo mbalimbali japo wanaamua kupita kimyakimya na kutuanzishia mathread ya kutuponda....

Thread haimkatazi mtu yoyote kuwepo humu hata Ngedere ila baadhi ya wakongwe wanajishtukia shtukia tu
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom