Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,832
Yap. King of all Bongo peremendez [emoji23][emoji23][emoji23]Muzee ya totoz
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Yap. King of all Bongo peremendez [emoji23][emoji23][emoji23]Muzee ya totoz
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Shululu Wa tumosaTZB, Tanzania Bukoba, Enzi hizo
Let the kids be kids. Ni bora ya hawa kuliko hao wanaoshinda wamepindisha migongo wakicheza michezo na kuangalia mambo mabaya kwenye simu, tablets na kompyuta. Hawa wanajifunza kuhusu ushirikiano, urafiki, ubinadamu na hata mahusiano yao na wanyama. Unamuona huyo mbwa alivyotulia? Anajua kuwa yupo katika mikono salama na si ajabu amejaribu kuruka huo ukuta mpaka amechoka. These kids will be OK...Hiz shule bora zifungue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yap. King of all peremendez [emoji23][emoji23][emoji23]
Umo sana tena sana tu. Nimekuandikia...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi simoooo
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji106] [emoji106] yeah bonge LA pointLet the kids be kids. Ni bora ya hawa kuliko hao wanaoshinda wamepindisha migongo wakicheza michezo na kuangalia mambo mabaya kwenye simu, tablets na kompyuta. Hawa wanajifunza kuhusu ushirikiano, urafiki, ubinadamu na hata mahusiano yao na wanyama. Unamuona huyo mbwa alivyotulia? Anajua kuwa yupo katika mikono salama na si ajabu amejaribu kuruka huo ukuta mpaka amechoka. These kids will be OK...
Nipo, husna mubaShululu Wa tumosa
Pole mkuuWakuu niwatakie usiku mwema
Naomba tuunganae katika maombi Leo asubuhi rafiki yangu amepata tatizo hivi yuko hospital amelazwa
Mungu amponye apone haraka
Amen
Pole sana kwa rafiki kipenzi Mungu anjalie wepesi na kumponya harakaWakuu niwatakie usiku mwema
Naomba tuunganae katika maombi Leo asubuhi rafiki yangu amepata tatizo hivi yuko hospital amelazwa
Mungu amponye apone haraka
Amen
[emoji23] [emoji23] akaa ngoja waje umwagiwe povu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umo sana tena sana tu. Nimekuandikia...
Mzee wa peremende anahusikaPedeshee Muzee ya Peremende kabwagiwa watoto [emoji23][emoji23][emoji23] Sijui D hapa ndiyo yupi [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️![]()
AmenPole mkuu
Hakuna lisiliwezkana kwake aaminiye amin mungu atatenda
AmeniPole sana kwa rafiki kipenzi Mungu anjalie wepesi na kumponya haraka
Nawe pia usiku mwema
[emoji23] [emoji23] uganga na bange HV vinakuja kweli??!!
Mungu Amguse rafiki yako na mkono wake wa uponyaji kulingana na mapenzi yake. Bila shaka atapona!Wakuu niwatakie usiku mwema
Naomba tuunganae katika maombi Leo asubuhi rafiki yangu amepata tatizo hivi yuko hospital amelazwa
Mungu amponye apone haraka
Amen
Na nani sasa kwa mfano[emoji23] [emoji23] akaa ngoja waje umwagiwe povu[emoji23] [emoji23] [emoji23]