Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mchawi wangu ni Husna au Aganza?

Madini yako pale pale na mimi kazi yangu ni kuzunguka zunguka huku Makapuku na kurekebisha rekebisha mambo. Najiita mwalimu-mwanafunzi (au mwanafunzi-mwalimu) huku Makapuku sema tu sina fimbo. Kwema lakini? Leo peremende mitaa ya wapi?
Kwema kabisa na hope uko poa ....

Kiukweli natambua uwepo wa Husna kabisaaaaaaa ....ilianza kama mchicha na atimaye mbuyu huyooooooo.....lakin najua kafanya maamuz sahihi ...Aganza naomba umwache kwanza make akichanganya biashara na wewe navokujua mtaji wetu mtaumalizaa ...nina hisa

Peremende namsubiria binamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom